Imebidi niangalie jukwaa mara mbili mbili.Hiyo ni hatari zaidi ya uongo...
[emoji115][emoji115][emoji115]hapo juu umejibiwa kwa lugha rahisi ambayo inaeleweka mkuu.Ugonjwa wa malaria ni ugonjwa unaoambukizwa kupitia kung'atwa na mbu jike aina ya anopheles
Na si vinginevyo .
Mara chache mno ambapo mtoto aliyetumboni anaweza kupata narudia tena ni Mara chache sana na ni negligible
Kuna baba mmoja aliniambia kuwa hkinywea KIKOMBE au kusogeleana na mgonjwa wa malaria
Tayari umenaswa
Utaanza kupiga chafya na mwili kuanza kudhoofika
Ujue tayari umeikwaa malaria
Hata darasa la 4 hawezi andika huu utumbo nenda kasome majarida uelewe siyo kila kitu ni kuambiwa.Habari wakuu
Naomba kujuzwa nikwanini mgojwa wa malaria akitumia kikombe
Halafu akaja mtu ambaye haumwi akakitumia anapatwa na ugonjwa wa malaria?
Wakati wataalamu wa tiba hudai kuwa malaria huambukizwa na mbu jike Tena usiku wa manane!
Naomba kupata ufafanuzi wa suala hili
Natanguliza shukurani
View attachment 755507