Mganguzi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2022
- 1,604
- 3,715
Pale uwanja wa taifa palikuwa na vihoja vikubwa sana. Utitiri wa wasanii wa tasnia zote wakiimba CCM ni mbele kwa mbele! Wameenda kwa mapenzi ama ni nguvu ya bahasha?
Iweje Kila msanii awe CCM? Ni wasanii wangapi wanaunga mkono upinzani na wanaweza kujitokeza hadharani na kuungana na team ya Lissu na Mbowe kwenye kampeni yao ya 255?
Kama ni bahasha basi nchi hii Ina safari ndefu katika vita dhidi ya rushwa ya kisiasa! Itafutwe namna ya kuwakomboa vijana kifikra