Pre GE2025 Nikweli kwamba nchi hii wasanii wote ni CCM? Ni kweli kwamba Simba Yanga na Azam ni CCM? Au wanaenda kwa sababu ya njaa ya mkate? Hii ni ajabu

Pre GE2025 Nikweli kwamba nchi hii wasanii wote ni CCM? Ni kweli kwamba Simba Yanga na Azam ni CCM? Au wanaenda kwa sababu ya njaa ya mkate? Hii ni ajabu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kubwa kabisa wamekusanya wanafunzi kitoka kwenye shule karibia zote za dar es salaam na pahala pengine na kuwajaza taifa mule ili waonekane wamejaza uwanja aisee
Bado wanatumia mbinu za kizamani sana kufanya propaganda. Kibaya zaidi wanatumia fedha za umma kufanya hadaa za kukubalika.
 
Hata Chadema wana wasanii wao ila mbona cjawaona wakiandaa matamasha na kuwakaribisha hao wasanii?
 
Pale uwanja wa taifa palikuwa na vihoja vikubwa sana. Utitiri wa wasanii wa tasnia zote wakiimba ccm ni mbele kwa mbele ! Wameenda kwa mapenzi ama ni nguvu ya bahasha?

Iweje Kila msanii awe CCM? Ni wasanii wangapi wanaunga mkono upinzani na wanaweza kujitokeza hadharani na kuungana na team ya lissu na mbowe kwenye kampeni yao ya 255?

Kama ni bahasha basi nchi hii Ina safari ndefu katika vita dhidi ya rushwa ya kisiasa ! Itafutwe namna ya kuwakomboa vijana kifikra
Kuna mtu aliandika hapa JF kuwa CCM ni dola.

Huamini hilo?

CCM ni kubwa kuliko unavyofikiria. Hata Mbowe usishangae ukisikia na yeye ni CCM.
 
Pale uwanja wa taifa palikuwa na vihoja vikubwa sana. Utitiri wa wasanii wa tasnia zote wakiimba ccm ni mbele kwa mbele ! Wameenda kwa mapenzi ama ni nguvu ya bahasha?

Iweje Kila msanii awe CCM? Ni wasanii wangapi wanaunga mkono upinzani na wanaweza kujitokeza hadharani na kuungana na team ya lissu na mbowe kwenye kampeni yao ya 255?

Kama ni bahasha basi nchi hii Ina safari ndefu katika vita dhidi ya rushwa ya kisiasa ! Itafutwe namna ya kuwakomboa vijana kifikra
Hawa wapumbavu ni machawa pro max hawaelewi kitu chochote kabisa!
 
Kenya wasanii walikuwa na waandamanaji! Tz tatizo njaa na hakuna shule kabisa!
Wasanii na watu maarufu wa Tanzania wanalazimishwa kuunga mkono ccm, wasipofanya hivyo wanashughulikiwa kisawasawa hasa kiuchumi. Au hata kunaniliwa.............

Plata O Plomo
 
Hao ni njaa tu ndugu yangu zinawasumbua, huwa wanatumika kaa ndomu tu. Hiki ndiyo kipindi chao cha kuvuna. Wasanii wengine hujikomba, waambulie ubunge, ukuu wa wilaya na nafasi za uongozi huko uvccm.

Kuhusu mashabiki, mimi ni Yanga ile kindakindaki, but sikikubali chama cha mambuzi, nina Imani pia mashabiki wengine hawakiungi mkono hiko chama, ni hao viongozi ili yao yawaendee.
 
Hivi mnaposema uhuru wa kila mtu kuwa na chama akipendacho na demokrasia huwa huelewi? Wasanii na wanamichezo nao ni raia kama wengine.

Mbona hata kule chadema kuna wasaniii wengi tuu, mfano yule alie imba wimbo wa chadema chadema peoplez power, kwani kulikuwa na shida ganii?

Halafu kumbuka ni utawala huuu huu wa CCM ndio umechangia pakubwa kwenye tasinia zote hizi. Kwahiyo ishukuriwe CCM kukuza vipaji mbali mbali kwa vijana ambao walio wengi ni matajiri wakubwaaa. CCM ipongezwe saaana.
Huo uhuru ndio iwe wasanii wote? Kivyovyote vile hapo lazima kuna kitu hakipo sawa
 
Hivi mnaposema uhuru wa kila mtu kuwa na chama akipendacho na demokrasia huwa huelewi? Wasanii na wanamichezo nao ni raia kama wengine.

Mbona hata kule chadema kuna wasaniii wengi tuu, mfano yule alie imba wimbo wa chadema chadema peoplez power, kwani kulikuwa na shida ganii?

Halafu kumbuka ni utawala huuu huu wa CCM ndio umechangia pakubwa kwenye tasinia zote hizi. Kwahiyo ishukuriwe CCM kukuza vipaji mbali mbali kwa vijana ambao walio wengi ni matajiri wakubwaaa. CCM ipongezwe saaana.
Ndiomaana wasafirisha wahamiaji haramu wanaweka bendera ya ccm kwenye magari yao, gari la mbunge wa ccm lakamatwa kwenye biashara kharam
 
Back
Top Bottom