Bado wanatumia mbinu za kizamani sana kufanya propaganda. Kibaya zaidi wanatumia fedha za umma kufanya hadaa za kukubalika.Kubwa kabisa wamekusanya wanafunzi kitoka kwenye shule karibia zote za dar es salaam na pahala pengine na kuwajaza taifa mule ili waonekane wamejaza uwanja aisee
Hasa biashara ambayo sio halali au ktk uendeshaji wake kuna ukwepaji wa kodi.Ukitaka biashara yako iende vizuri peperusha bendera ya CCM. FREDERICK SUMAYE
Kuna mtu aliandika hapa JF kuwa CCM ni dola.Pale uwanja wa taifa palikuwa na vihoja vikubwa sana. Utitiri wa wasanii wa tasnia zote wakiimba ccm ni mbele kwa mbele ! Wameenda kwa mapenzi ama ni nguvu ya bahasha?
Iweje Kila msanii awe CCM? Ni wasanii wangapi wanaunga mkono upinzani na wanaweza kujitokeza hadharani na kuungana na team ya lissu na mbowe kwenye kampeni yao ya 255?
Kama ni bahasha basi nchi hii Ina safari ndefu katika vita dhidi ya rushwa ya kisiasa ! Itafutwe namna ya kuwakomboa vijana kifikra
Hawa wapumbavu ni machawa pro max hawaelewi kitu chochote kabisa!Pale uwanja wa taifa palikuwa na vihoja vikubwa sana. Utitiri wa wasanii wa tasnia zote wakiimba ccm ni mbele kwa mbele ! Wameenda kwa mapenzi ama ni nguvu ya bahasha?
Iweje Kila msanii awe CCM? Ni wasanii wangapi wanaunga mkono upinzani na wanaweza kujitokeza hadharani na kuungana na team ya lissu na mbowe kwenye kampeni yao ya 255?
Kama ni bahasha basi nchi hii Ina safari ndefu katika vita dhidi ya rushwa ya kisiasa ! Itafutwe namna ya kuwakomboa vijana kifikra
Raha ya fedha zitumike, unataka kupiga nazo picha?Bado wanatumia mbinu za kizamani sana kufanya propaganda. Kibaya zaidi wanatumia fedha za umma kufanya hadaa za kukubalika.
Kenya wasanii walikuwa na waandamanaji! Tz tatizo njaa na hakuna shule kabisa!Hawa wapumbavu ni machawa pro max hawaelewi kitu chochote kabisa!
Unasemaje angehudhuria kwenye mkutano wa lisuu.Ni mtu mjinga tu anaweza kutetea rushwa ya wazi hivi kwa maelezo marefu kama yako. Ni kwamba hatujui ukweli wa nini kinaendelea kwenye hayo maigizo?
Wasanii na watu maarufu wa Tanzania wanalazimishwa kuunga mkono ccm, wasipofanya hivyo wanashughulikiwa kisawasawa hasa kiuchumi. Au hata kunaniliwa.............Kenya wasanii walikuwa na waandamanaji! Tz tatizo njaa na hakuna shule kabisa!
Yale yalikuwa kampeni ya Katiba mpyaPambalu na Twaha wanafanyaga kampeni za kisiasa kwenye mechi pale Lupaso
Hili ndiyo jibu.Ukitaka biashara yako iende vizuri peperusha bendera ya CCM. FREDERICK SUMAYE
Katiba Mpya siyo SiasaYale yalikuwa kampeni ya Katiba mpya
Huo uhuru ndio iwe wasanii wote? Kivyovyote vile hapo lazima kuna kitu hakipo sawaHivi mnaposema uhuru wa kila mtu kuwa na chama akipendacho na demokrasia huwa huelewi? Wasanii na wanamichezo nao ni raia kama wengine.
Mbona hata kule chadema kuna wasaniii wengi tuu, mfano yule alie imba wimbo wa chadema chadema peoplez power, kwani kulikuwa na shida ganii?
Halafu kumbuka ni utawala huuu huu wa CCM ndio umechangia pakubwa kwenye tasinia zote hizi. Kwahiyo ishukuriwe CCM kukuza vipaji mbali mbali kwa vijana ambao walio wengi ni matajiri wakubwaaa. CCM ipongezwe saaana.
Lisu hana rushwa za kuwapa wasanii.Unasemaje angehudhuria kwenye mkutano wa lisuu.
Ndiomaana wasafirisha wahamiaji haramu wanaweka bendera ya ccm kwenye magari yao, gari la mbunge wa ccm lakamatwa kwenye biashara kharamHivi mnaposema uhuru wa kila mtu kuwa na chama akipendacho na demokrasia huwa huelewi? Wasanii na wanamichezo nao ni raia kama wengine.
Mbona hata kule chadema kuna wasaniii wengi tuu, mfano yule alie imba wimbo wa chadema chadema peoplez power, kwani kulikuwa na shida ganii?
Halafu kumbuka ni utawala huuu huu wa CCM ndio umechangia pakubwa kwenye tasinia zote hizi. Kwahiyo ishukuriwe CCM kukuza vipaji mbali mbali kwa vijana ambao walio wengi ni matajiri wakubwaaa. CCM ipongezwe saaana.
Umebwabwaja hapaNdiomaana wasafirisha wahamiaji haramu wanaweka bendera ya ccm kwenye magari yao, gari la mbunge wa ccm lakamatwa kwenye biashara kharam
Kwahyo wasanii hawaruhusiwi kuwa wapiga kula wa chama chochoteLisu hana rushwa za kuwapa wasanii.
Sio KULA ni KURAKwahyo wasanii hawaruhusiwi kuwa wapiga kula wa chama chochote