Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Mafulilo ya kutafuta kwa Kiiki.Kubwa kabisa wamekusanya wanafunzi kitoka kwenye shule karibia zote za dar es salaam na pahala pengine na kuwajaza taifa mule ili waonekane wamejaza uwanja aisee
Wewe hata ukilawitiwa na kigogo wa ccm huwezi kukiri au kushtaki maana una "mahaba" na chama chako. Hongera!Wewe unayeishi hiyo dunia ya kutengeneza mapropaganda ya kuichafua serikali, unafikiri utafanikiwaa chochote. Matukio mtengeneze nyinyi eti mkaichafue serikali. Hovyo kabisaaa. Mtachafuka nyinyi na kiki zenuu
Hizi zote ni mapropaganda yenu tuuu. Hakuna kigogo yoyote anayeweza kufanya hivyoo. Mnachofanya na lichama lenu eti nikuwatengenezea viongozi wa kiserikali mapripaganda eti muwachafue na kwenda kuwaambia wananchi eti viongozi wa hawafai. Tumeshawagundua hakuna propaganda yenu inayofanikiwa uone shetani anavyowaumbua. Hovyo kabisaaWewe hata ukilawitiwa na kigogo wa ccm huwezi kukiri au kushtaki maana una "mahaba" na chama chako. Hongera!
Wasanii wengi Ni wasen.....hawajitambuiPale uwanja wa taifa palikuwa na vihoja vikubwa sana. Utitiri wa wasanii wa tasnia zote wakiimba ccm ni mbele kwa mbele ! Wameenda kwa mapenzi ama ni nguvu ya bahasha?
Iweje Kila msanii awe CCM? Ni wasanii wangapi wanaunga mkono upinzani na wanaweza kujitokeza hadharani na kuungana na team ya lissu na mbowe kwenye kampeni yao ya 255?
Kama ni bahasha basi nchi hii Ina safari ndefu katika vita dhidi ya rushwa ya kisiasa ! Itafutwe namna ya kuwakomboa vijana kifikra
JUWATA haikuwa bendi ya CCM. Ilikuwa chini ya Jumuiya ya Wafanyakazi Tanzania (JUWATA), yaani kwa sasa tungesema ni bendi ya TUCTA. Ila kwa sababu tulikuwa ktk mfumo wa Chama kimoja ndio maana inaleta hisia hiyo. Ndio maana ilibadilika sana majina, kutoka kuitwa NUTA, JUWATA na baadae kuitwa OTTU ambazo ni mabadiliko ya majina ya Jumuiya ya Wafanyakazi kulingana na wakati. Baada ya kuingia mfumo wa vyama vingi Jumuiya ikajitoa na bendi ikaitwa MSONDO NGOMA.CCM ilikuwa na bendi zake JUWATA, Vijana Jazz, ToT nk
Yanga ni Timu ya CCM
CCM ina Viwanja vya michezo kila mkoa
CCM ina kumbi za Burudani kila Wilaya
Nk...nk...nk...🐼
Si kweli ila kwa sbb ya mfumo mbovu wa ccm,wa unyonyaji,watu wanaogopa kufilisiwa mali zaoPale uwanja wa taifa palikuwa na vihoja vikubwa sana. Utitiri wa wasanii wa tasnia zote wakiimba ccm ni mbele kwa mbele ! Wameenda kwa mapenzi ama ni nguvu ya bahasha?