Nikweli kwamba Wema Sepetu kakamatwa na Unga huko China???

Nikweli kwamba Wema Sepetu kakamatwa na Unga huko China???

huyu si alikuwa umissini??au kaachiwa..........
61178054a5479877ea4c105dcb6b207c.jpg
 
Labda itakuwa unga wa ugali ambao kule China umepingwa marufuku.
 
Habarini ndugu wanaJF
Hivi kuna ukweli gani na taarifa za magazeti kuelezea Wema kukamatwa na madawa(Unga) nchini China
Je,ni sahihi?
 
Kama hii habari ni uzushi basi Wema ana haki ya kulisue hili gazeti!
 
Back
Top Bottom