Nikweli Uchumi wa Dunia umetikiswa na kushuka kutokana na vita vya wenzetu huko ulaya. Lakini Mimi napata tabu kidogo kama mtu ninaye elewa uchumi kama Taifa tunakosea na tunakoelekea uwenda kama Taifa tukajikuta kwenye giza Nene la uchumi kutokana na makosa.
This is very simple formula gari iliyobeba mzigo mzito inapofika kwenye mlima na ikashindwa kupanda basi shurt kushusha mzigo nakuacha mzigo utakao weza panda nao au Tegemea kujuwa eng na mwisho safari isiendelee.
Kama Taifa tuna fanya makosa makubwa sana kudhania tunaweza kuendesha nchi kwa kutegemea wahisani na mikopo. Tuna fanya makosa makubwa kiuchumi kuajiri kwa presha ya kujaza nafasi pasipo fanya tathimini ya wapi Kuna uhitaji mkubwa wa watu na wapi hapahitaji watu.
Huwa najiuliza hivi Kuna mchumi anaye fanya tathimini ya uwajiri vs return kwenye huwo uwajiri? Najiuliza taasisi kama TRA au Tanesco hivi ukiangalia idadi ya wafanyakazi na uzalishaji vinaendana? Majibu mnayo wenyewe nilazima sasa kichunguza idara idadi ya wafanyakazi vs majuku yao kwa sababu kule tuendapo tusipo kuwa makini serikali itakosa pesa kulipa watu au mtapunguzana. Ikumbukwe zipo taasisi hazizalishi ni matumizi tu mfano ikulu idara za usalama tofauti na mataifa ya wenzetu taasisi nyeti kama ya usalama ana budget yakuzalisha.
Mahali tulipo fika nilazima tuambiane ukweli posho mnazolipana ni zaidi ya mishara mtake mistake mtalifilisi Taifa mcha kweupe na Mimi na shangaa kwanini hizi posho hazilipwi kwenye Lawson mkaona vile mnaifilisi hii nchi. Watu wanalipana posho za hatari na majibu mtayapata. Kama huko ndio kula kwa urefu wa kamba mambo yatakuwa magumu mbeleni.
Safari zisizo za lazima nilazima zipunguzwe viongozi wetu watumie tehama kupunguza safari zisizo za lazima mnafilisi Taifa.
Manunuzi ya magari ya kifahari kwa viongozi nalo ni tatizo embu jamani nunueni magari ya kawaida na yagharama na fuu tena nunueni kiwandani.