Nikweli watu wa Second round application huwa hawapati mkopo ?

blues

Member
Joined
Jul 10, 2014
Posts
59
Reaction score
13
Ni kweli wale ambao wana apply chuo mara ya pili asilimia 90 huwa wanakosa mkopo au ni tetesi za kkutiana tumbo joto???
 
# HABARI WANAFUNZI 28,037 KUKOSA MIKOPO.
Wanafunzi 28,037 watakosa mikopo kutoka bodi
ya mikopo ya wanafunzi wa elimu ya hivyo
watalazimika kusaka njia mbadala kama wanataka
kuendelea na masomo hayo. Hadi kufikia julai 31
wanafunzi 58,037 walikuwa wametuma maombi ya
mkopo na bodi hiyo imesema ina uwezo wa kutoa
mikopo kwa wanafunzi 30,000 tu.
Pia kuhusu madai ya wanafunzi wa vyuo vitano
kutaka wapewe bilioni 6.6 kwaajili ya mafunzo ya
vitendo, bodi ya mikopo imesema malipo hayo
yaandaliwa na kwamba hundi za malipo hayo
zinatarajiwa kupelekwa katika vyuo wiki ijayo.
Vyuo hivyo ambavyo havijapata fedha ni SAUT,
IFM, Teofilo Kisanji- Mbeya, Tumaini, SMUCCO na
Jordan cha Morogoro

hii habar hukuipata wewe?
 
Mkopo unapata ila inadepend kama umemfanya Mungu wa israel kuwa tumaini lak😵ver
 
mkopo haijalishi first au second round ila bahati tu omba mungu mkuu
 
kama una vigezo vyote mkopo unasubir 2 upate chuo ukufate.,huwezi kuamin hao waliopata first round wamo watakaokosa mkopo pia hawa second round wapo wanaosubiriwa wapate chuo wapewe hela zako.,hapa ndo utakubali kale kamsemo "BAHATI YA MTU USIILALIE MLANGO WAZI"
 
Vigezo ndo hoja, haijalishi First au second..!!
 
na kama umechagua course mkopo sio priority kuna uwezekanao wa kupata
 
Ni kweli wale ambao wana apply chuo mara ya pili asilimia 90 huwa wanakosa mkopo au ni tetesi za kkutiana tumbo joto???

nilifanya sec round mwaka jana pharmacy KIU mkopo nikapata na chuo sikwenda, mwaka huu tena nikafanya sec round nimepata nafasi SUA corz ni priority so nasubir kama itakuja miujiza..
 
Second round majina hayajatoka acha kuuongopea umma,
nilifanya sec round mwaka jana pharmacy KIU mkopo nikapata na chuo sikwenda, mwaka huu tena nikafanya sec round nimepata nafasi SUA corz ni priority so nasubir kama itakuja miujiza..
 
mwaka huu kama sec round sua. bas 1 kwa 1 ni huko ndo maana kasema amepata SUA.
 
nilifanya sec round mwaka jana pharmacy KIU mkopo nikapata na chuo sikwenda, mwaka huu tena nikafanya sec round nimepata nafasi SUA corz ni priority so nasubir kama itakuja miujiza..

Kaka ulipata asilimia ngapi kwa kampala
 
nilifanya sec round mwaka jana pharmacy KIU mkopo nikapata na chuo sikwenda, mwaka huu tena nikafanya sec round nimepata nafasi SUA corz ni priority so nasubir kama itakuja miujiza..

wasipotoa hela zao zinazobakia kulipwa watazipataje sasa
 
na kama umechagua course mkopo sio priority kuna uwezekanao wa kupata

kama kozi yako sio priority vitaangaliwa vigezo vingne kama economic status ya mwombaji hapo atapata ila kuna kozi kama sociology last yr people walisota hadi huruma...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…