Nile vyakula gani mwili ujengeke vizuri

Inategemeana unafanya mazoezi ya aina gani. kwa sababu kuna mazoezi ya kuiimlaisha mwili ndani kwani ndani na kuna mazoezi ya kukufanya uwe na mwili mkubwa.
 
Nimeanza gym, je nile vyakula aina gani ili mwili ujengeke kwa wepesi nimechoka kuwa kimbaumbau.
pole mkuu na hongera mm mwenyewe nimeanza nina mwez ss wasiliana na gym master wako atakupanga vizur ila ucjal ngoja waje
 
*Lita 3 za Maji safi kila siku.

*carbohydrates (wali, ugali dona, viazi, mihogo )

*matunda (ndizi, nanasi, tikiti maji, chungwa, parachichi) japo aims mbili kwa siku.

*mboga za majani, kila siku.

Kila la heri mkuu, nafahamu kuwa unajua vyakula vyote vinavyohitajika ila umeuliza tu. USIPOANZA KUTEKELEZA UTAULIZA KILA SIKU
 
Duu bila protein hii ndio aina kubwa ya chakula inayoweka muscles even in formulation of concentrated feed for beef cattle is added there.
 
kula chips mayai wewe mwambie aikaushe kidogo. tomato aweke kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…