The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,582
- 123,152
π€£π€£π€£Aisee,haya bhanaWala sina huyo mtu wa kunipangia ni mimi mwenyewe tu nataka nifike angalau hizo kilo za kiroba cha cement
Smoothie yenye ndizi, maziwa, korosho na peanut!Wakuu nataka kuongeza uzito kidogo ushauri wenu muhimu.
Hivi nile vyakula vipi kwa wingi niongeze walau kilo 5 in 2 weeks
View attachment 3488249
Kutwa mara ngapi hii?Smoothie yenye ndizi, maziwa, korosho na peanut!
Duh! Mbona unanitisha sasaKama una stress hata ule nini,mwili utabaki vile vile tu,
Kama utafuata ushauri wa comment 4# basi uandae na hela ya matibabu kabisa.
Asubuhi, chapati, supu na pepsi baridi..
Tafuna tafuna chocolate π«za kutosha..
Mchana gonga wali wako, na pepsi,
Saa 10 hivi kandamiza kiepe yai na soda baridi..
Shida unakula kula vi snacks
Usiku kula saa 4 au saa 5, ugali wako na nyama nyingi.. piga na pepsi
Kesho yake gonga uji na blee banda ya kutosha
Saa 4 chapati, mixer na soda..
Irudie ratiba hii, ndani ya wiki 2 utaipata habari yake
Wewe tu hata jagi zima, hii week tu unanenepaπKutwa mara ngapi hii?
Nilisahau hilo la stress na roho mbaya na ahakikishe analala saana, safari zake ni gari tu na bodaboda haruhusiwe kutembea kwa miguu..Akifanya haya bila stress na roho mbaya matokeo atayaona
Hahaha dogoJaziba hasara, kaa utulie ushushie maji kisha unieleze ni nini kimekusibu, maana naona haupo sawa kabisa.
Pole yako.Hahaha dogo
πππππKunywa wanzuki.kamoko na kipili cha wali ndondo...
Majibu utapata...
Wall Putt 25kgcement au wall put
Siku moja nilipika dagaa kwa mafuta ya baby care baada ya maisha kunichapa kofi, nilipogundua kuwa yale mafuta yanafaa ndiyo ikawa jadi yangu kupikia.Kuna miaka nilikuwa pale udsm, sasa nilikuwa napga sana shuttle pori (sp), (mabibo>main campus), nlikuwa na rafiki yangu mmoja hv ambaye siku moja aliniamby njoo nikuonyeshe pa kula..lunch nilikuwa nakula pale chuon kariakoo cafe au huku coet.. Jion kwa mama mmoja anaitwa mama kifusi yupo pale mabibo kwa nje(remember: nilikuwa sinywi chai) siku isiyokuwa na jina huyo mchaga akanionyesha kwa mwarabu cafe(mabibo kwa nje) ikawa kila asbh nilianza kunywa pepsi baridi na ile mnaita donati mayai 1 pamoja na sharifu..nikitoka chuoni saa tisa au kumi n mwendo wa pepsi barid+donati yai 1+sharifu moja.
Pamoja na kuwa nilikuwa mwembamba, lakn ndan ya wiki 2 hadi tatu niliumuka nikawa kibonge had wa leo naitwa bonge..
Thanks to my LORD GOD zile nanihii hazijaisha, changamoto ni kuwa warembo vibonge wameishakuwa mama mkwe kwangu.
Binti wa zamani
secretarybird
Mbaga Jr