NILHAM RASHED
JF-Expert Member
- Nov 29, 2010
- 1,622
- 43
Asprin, Kimey
Hapa topic ni Avatar ya Nilham kwa kuwakumbusha tu 🙂
Unless of course iwe kazi ya mikono ni somo kuhusu matumizi ya photo shop kupendezesha Avatar na Sayansi Jamii ni somo kuhusu 'namna ya kujipigia debe'
jamani hii jamii forum hii ....yaani subhana llah nilipoona nilham rasheed.... nafsi yangu ikashtuka kama nimepatwa na kitu gani sijui,,, inshallah tupendane binaadam tumeumbwa kupendana abuy mi pia nakupenda wewe na woote wa humu jf...asakum lkheyr inshallah..
jamani si basi mie kosa langu liwapi mbona mie sifatilii watu kiivyo??? sasa ishakuwa kero...loool kweli humu nimeamini yaani subhanallah!!!!!:A S thumbs_down::A S thumbs_down::A S thumbs_down::A S thumbs_down:
Huna kosa. Nilikuwa nawakumbusha tu wasitoke nje ya mada inayojadiliwa kwenye thread maana kuna watu weshalalama kuwa topic zao huharibiwa kwa majadiliano binafsi.
Endelea ku-chill tu aight
Nyota ya Nilham naona inang'aaa kwelikweli...:israel:Kidogo Hashcool apigane na Shoshi....:argue:. Ameanza mwingine tena...!!!Kila heri Nilham!
Sio shoshi sema Sho.........................malizia na........................... ssi well itabidi nimpige marufuku Nilham asiingie tena JF maana nahisi Hashycool ameamua kupiga mashambulizi kupitia watu wake wa karibu.......
Na mimi kumbe wamo kt?ika choices Godblessme!!!God😛ray2: God😛ray2: God!!:A S tongue:😛ray2:😛ray2:
Finest anzisha mie nitakusupport
Kaka binadamu wote lazima kupendana lakini ule wa mume na mke sahau ana mwenywewe huyo wakulishana nae zabibu angalia usijeshushwa busha!
hhehehe whatever u want me to do i can eccept it 4my two hands.... i will always listean to u my dear..
Duh yamekuwa hayo??:faint:
Kaka mke wa mtu sumu........................
jamani hii jamii forum hii ....yaani subhana llah nilipoona nilham rasheed.... nafsi yangu ikashtuka kama nimepatwa na kitu gani sijui,,, inshallah tupendane binaadam tumeumbwa kupendana abuy mi pia nakupenda wewe na woote wa humu jf...asakum lkheyr inshallah..
alhamdulillah abuy illa kheyr nashkur.... inshallah iendelee kung'aa mpaka nikiiondoka jf..maana niko matatani tuu ,,,raha hakuna tena...
heheeehee si mtamu tena??
Nihisi Nilham ni yule dada wa tangazo la homeshopping centre. Ni mtamu sana yule dada aisee.
Babu nawe ni mmoja wao nini?Huyu Nilham anawapigisha punyeto wanaume wengi sana hapa JF.
Nasubiri mwingine.
Hizi avatar mpaka zinaanzishiwa thread LOLZ!