NILHAM RASHED
JF-Expert Member
- Nov 29, 2010
- 1,622
- 43
jamani si basi mie kosa langu liwapi mbona mie sifatilii watu kiivyo??? sasa ishakuwa kero...loool kweli humu nimeamini yaani subhanallah!!!!!:A S thumbs_down::A S thumbs_down::A S thumbs_down::A S thumbs_down:
Asprin, Kimey
Hapa topic ni Avatar ya Nilham kwa kuwakumbusha tu 🙂
Unless of course iwe kazi ya mikono ni somo kuhusu matumizi ya photo shop kupendezesha Avatar na Sayansi Jamii ni somo kuhusu 'namna ya kujipigia debe'