Niliacha chuo ili nifanye biashara, sasa mtaji umekatika sijui nifanye nini?

Ulifanikisha vip mkuu naona story yako inanivutia hivi.....
Kwanza niliona watu waliomaliza almost awam 3 wapo mtaan na mim nngefuata

So nilinunua diary na kulist biashara 5 ntakazoweza kuzifanya....nkapiga hesabu ya mtaji maana nilibakiwa na boom 1 tuuu...!!ilikuwa kama 520k

Nkachanganua biashara zote nkaona fursa ipo kwenye duka....na kama bajet ikiwa haiend niende kwenye kilimo

Baada ya kuchanganua wapi kuna wepesi zaidi ndipo nilipoona fursa kwenye duka

Ilikuw bdo mwezi m1 nimalize UE nkaandka barua ya kuahirisha masomo....!!nkauza almost kila kitu maana nlkuwa nmpanga...!!then nkarudi dsm kupambana rasmi(hapo niliowaacha chuo walinisema saana....na skumuambia mtu yyte home kama nmeahirisha masomo....MPAKA SASA)

Nikafungua frem nkaweka vitu kulingana na mtaji nlonao....nkawela huduma ya vocha za kurusha na kuchajisha cm....kazi ikaanza

Nilipokea changamoto maana kulikuwa na maduka mengine ma3 jiran nami...lkn sikukata tamaa...!!nilipambana just kwa kuwa mcheshi na mkarimu kwa wateja...!!

Sikuchukua faida bali niliizungusha humo humo mpk duka lilipoanza kukua...!!

Nilipambana kujaza vitu....na kujifunza kupitia kwa wauza maduka wengne....kuna muda ilinibidi nitoe pesa kununua kitu ili tu maswali yangu yajibiwe...!!

Now Maisha yanaenda...sijafika nnapotaka lkn kesho yangu naiona

Nimepanga chumba
Kila kitu nmeweka
Nakula nnachotaka

Wale waliomaliza chuo tuliosoma pamoja wanaona aibu ht kuniangalia...!!wengne wapo mikoan wananiomba waje lkn kwakweli sijafikia level ya kuajiri mtu bado...na pia nnajua hii biashara ukmuachia bnadam mwenye majukum itaanguka

Kkubwa ni kuwa tusikate tamaa....!!Tusimsahau Mungu pia

Lakini kkubwa Mapenzi tupunguze kidooogo...tufocus kwenye kutafta pesa

View attachment 1181143
 
Hongera sana boss.
 
hko vzr mkuu, ata mm nakimbizana na goli langu kama lako
 
hongera mkuu umewainspire vijana wengi sana kwa hii feedback yko, kwamba pambana and never give up, je ulianza rasmi mwaka gani?? Unakunja kiasi kwa siku?? Yaan mauzo. Mimi nilianza mwaka jana mwishoni, development mpk sasa nasema Asante Mungu.
 
Serekali ilikuamini ikakudhamini ikakupa fedha ukaitoroka ukaona ukauze mitumba sasa mimi binafsi nitakuamini vipio mkuu. Kumbuka serekali wanasema ina mkono mrefu na bado ukapata guts za kuitoroka ije kuwa mimi arawa?

Nadhani ingekuwa busara sana ungeweka bandiko wakati unataka kuacha chuo ukauze mitumba ndio tungekushauri vizuri. Sasa hivi mkuu hata sisi tuna matatizo yetu chungu nzima utaishia kuambiwa pole tu hapa. We uliona busara kuacha chuo kikuu (No matter Course ipi) kwa ajili ya biashara ya mitumba ya mtaji wa laki nne sijui tano. Nadhani hapa tatizo sio hukuipenda kozi wala nini ila wewe ni mvivu kujisomea, hukupenda chuo na ulitamani maisha ya mtaani ukapange chumba ujitawale.

Dawa ni kuvuna kilichopandwa tu Boss kwa sasa. Na kama una akili ongea na mama yako mapema, umemuumiza sana na ukute hata amekuwa anahangaika kukutumia visenti akijua uko chuo kumbe uko street unakula maisha tu.
 
Mbona hili duka limejaa foma gold?
 
Sasa wewe Mkuu mbona umeshajiita Genius mvivu.
 
Aaah wewe hongera mkuu, hili duka limeanza kwa boom la 500K linamuda gani sasa wewe sasa ndio mjasiliamri mimi japo nilistuka najiona boya sasa japo najipongeza nisingrstuka ningekosa hata pesa za bando.
 
Mtoa mada huna mahesabu kuna watu wanapiga faida mpaka ya 10M huko kwa mwezi lakini hawakuacha chuo.....ilibidi utumie boom kama mtaji endelevu umeacha ukiwa unalo boom mimi hadi sasa najuta kwanini sikustuka mwaka wa kwanza tu.
 
Good! Unatia moyo wengi!
 
Nadhani haya ni moja ya matokeo motivational speakers, hapa jamaa atakuwa alijaribu kumuiga Bill Gates.
Motivational speakers wana maneno ya matuamin sana ila nafikir wao kwa kias fln au wachache kati yao hua hawa-face reality ila wana practical theory in mind ambay wana wa-encourage wengine wafanye ili-hali wao hawajigusi..sasa kupitia hapo ndy wanapata hela za kula!
 
Excellent kijana √√
 
nichek PM.
 
Ingependeza ungetushirikisha hiyo biashara uliyowekeza 150000/= na baada ya mwezi ukapata 1.2M

Unaweza ukamsaidia mtu fulani mahali fulani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…