Niliacha chuo ili nifanye biashara, sasa mtaji umekatika sijui nifanye nini?

mkuu ww una uzoefu na biashara ya duka hv kwel hii bussness ina faida?? mana kuna sku nilikua najadlian kuhusu hii biashara nkaambiwa yaan duka n kwa ajili ya kutunza mtaji tu na sio kutoboa....kuna ukweli hapa mkuu
Kwanza niliona watu waliomaliza almost awam 3 wapo mtaan na mim nngefuata

So nilinunua diary na kulist biashara 5 ntakazoweza kuzifanya....nkapiga hesabu ya mtaji maana nilibakiwa na boom 1 tuuu...!!ilikuwa kama 520k

Nkachanganua biashara zote nkaona fursa ipo kwenye duka....na kama bajet ikiwa haiend niende kwenye kilimo

Baada ya kuchanganua wapi kuna wepesi zaidi ndipo nilipoona fursa kwenye duka

Ilikuw bdo mwezi m1 nimalize UE nkaandka barua ya kuahirisha masomo....!!nkauza almost kila kitu maana nlkuwa nmpanga...!!then nkarudi dsm kupambana rasmi(hapo niliowaacha chuo walinisema saana....na skumuambia mtu yyte home kama nmeahirisha masomo....MPAKA SASA)

Nikafungua frem nkaweka vitu kulingana na mtaji nlonao....nkawela huduma ya vocha za kurusha na kuchajisha cm....kazi ikaanza

Nilipokea changamoto maana kulikuwa na maduka mengine ma3 jiran nami...lkn sikukata tamaa...!!nilipambana just kwa kuwa mcheshi na mkarimu kwa wateja...!!

Sikuchukua faida bali niliizungusha humo humo mpk duka lilipoanza kukua...!!

Nilipambana kujaza vitu....na kujifunza kupitia kwa wauza maduka wengne....kuna muda ilinibidi nitoe pesa kununua kitu ili tu maswali yangu yajibiwe...!!

Now Maisha yanaenda...sijafika nnapotaka lkn kesho yangu naiona

Nimepanga chumba
Kila kitu nmeweka
Nakula nnachotaka

Wale waliomaliza chuo tuliosoma pamoja wanaona aibu ht kuniangalia...!!wengne wapo mikoan wananiomba waje lkn kwakweli sijafikia level ya kuajiri mtu bado...na pia nnajua hii biashara ukmuachia bnadam mwenye majukum itaanguka

Kkubwa ni kuwa tusikate tamaa....!!Tusimsahau Mungu pia

Lakini kkubwa Mapenzi tupunguze kidooogo...tufocus kwenye kutafta pesa

View attachment 1181143View attachment 1181144View attachment 1181145View attachment 1181146View attachment 1181147View attachment 1181148View attachment 1181149View attachment 1181150View attachment 1181153View attachment 1181154View attachment 1181156
 
Wengi kinachoua maduka ni mapenzi na matumizi bnafsi yakizid

Wengi wakishka pesa mkonon hua wanaona n za kwao...!!

Weka mazoea na wateja ila iwe na mipaka....!!kopesha watu lkn angalia pia vitu vya kukopesha(hapa unaangalia vile vya bei kubwa ambvyo unajua vnachukua mda kutoka)...na pia usikopeshe kila mtu...ucwawekee watu mazoea ya kukopa

Epuka sifa...dharau na mahusiano eneo unalofanyia biashara...!!cheka na wanawake lakin mapenz weka pemben...ikiwzkn chukua mwanamke wa mbali na eneo la biashara

Heshimu pesa...!!ucidharau hata 50...dai kama wamdai mtu...!!mkumbushe kama amesahau...!!jaribu kuongea kimasihara lkn hakikisha ujumbe umefika...!!

Kuwa tofauti na maduka mengne...kuanzia mavazi...lugha...bidhaa mpk mda wa kufungua...!!

Lakini cha muhimu zaidi...ucmuweke mtu dukan...!!wengi tunajisahau tukipata hela kdg au duka lkiendelea...!!usiajiri mtu mpk ukipata mtu unayemuamini...anayeweza kusimamia mauzo...na ambaye wew utaweza kumsimamia

Biashara ya duka ina faida sana...just usimamizi tu..!!kama ukishndwa biashara hii hakuna nyngne utakayoiweza
 
Nmeelewa
 
safi
 
Una Cheti Cha JKT Kama Ndiyo Nenda Kampuni Ya GrdaWorld Ipo Hapo Tunisia Street Jirani Na THT
Wanachukua Vijana
 
Hebu ficha upumbv wako basi, Jamaa kajitahidi mpk kufkia hapo

Si busara kubeza
Kubeza sio vizuri kweli, kwani foma gold siyo bidhaa mkuu huyu jamaa hajui kuna sehemu tulikuwa tunaosha magari enzi hizo tuko watu 20 tunaosha sasa mi nikiwa muoshaji ninanunua hiyo foma gold ya sh. 200 naweza nunua jumla sh. 2400 kiasi cha foma gold, sio chini ya hapo kila kukicha kwa duka moja alilokuwa anauza mdada imagine sh. 2400 x 20= sh.48000 per day yule dada anauza izo foma gold kwa sisi waoshaji. Afu utashangaa mtu anabeza biashara ndogo ndogo
 
umenipa somo nzuri sana ,mungu akubariki ,nikiwa na milion tatu naweza anzisha kijiduka Dar es salam
Wengi kinachoua maduka ni mapenzi na matumizi bnafsi yakizid

Wengi wakishka pesa mkonon hua wanaona n za kwao...!!

Weka mazoea na wateja ila iwe na mipaka....!!kopesha watu lkn angalia pia vitu vya kukopesha(hapa unaangalia vile vya bei kubwa ambvyo unajua vnachukua mda kutoka)...na pia usikopeshe kila mtu...ucwawekee watu mazoea ya kukopa

Epuka sifa...dharau na mahusiano eneo unalofanyia biashara...!!cheka na wanawake lakin mapenz weka pemben...ikiwzkn chukua mwanamke wa mbali na eneo la biashara

Heshimu pesa...!!ucidharau hata 50...dai kama wamdai mtu...!!mkumbushe kama amesahau...!!jaribu kuongea kimasihara lkn hakikisha ujumbe umefika...!!

Kuwa tofauti na maduka mengne...kuanzia mavazi...lugha...bidhaa mpk mda wa kufungua...!!

Lakini cha muhimu zaidi...ucmuweke mtu dukan...!!wengi tunajisahau tukipata hela kdg au duka lkiendelea...!!usiajiri mtu mpk ukipata mtu unayemuamini...anayeweza kusimamia mauzo...na ambaye wew utaweza kumsimamia

Biashara ya duka ina faida sana...just usimamizi tu..!!kama ukishndwa biashara hii hakuna nyngne utakayoiweza
 
Mkuu kwanza nakupa hongera kwakuwa mpka sasa experience uliyonayo si sawa na graduate na graduate aliyemaliza na kupata kazi, siyo wote watakaokubaliana na hili kwasababu siyo kila mmoja anaona kile unachokiona.
ILA, kama uliacha chuo ukiwa na majibu sahihi ya haya maswali kutoka ndani ya moyo wako basi ulifanya maamuzi sahihi ila kama una majibu ambayo kinywani unaweza kuyatamka na moyoni hayapo basi ulifanya maamuzi mabaya sana. Twende pamoja.

1. Je, uliacha chuo ukiwa tayari una malengo au ndoto ambayo upo tayari kujitoa hata kwa gharama zozote?

Kama majibu ni ya kusuasua basi ulifanya makosa makubwa ila kama jibu lipo na hilo jibu unalitoa kutoka ndani ya moyo wako basi ulifanya maamuzi ya msingi kuliko PHD holder mwenye jibu la wasiwasi kwa swali hilo.

2. Je, una ujuzi wowote ambao unaweza tumia kukuingizia kipato pasipo kumtegemea mtu yeyote. Ujuzi wa aina yoyote ile, inshort unaweza kufanya nn wewe kama wewe ambacho unaamini kina uwezo wa kukuingizia chochote hata 500 kwa siku?

3. Ulikuwa na options ngapi za biashara au kazi za kufanya baada ya kuacha chuo?

Hapa kama jibu ni biashara moja ya kuuza mtumba peke yake basi ulifanya maamuzi mabovu sana.

4. Je, ni plan gani uliyokuwa nayo ili kusoma kile unachokipenda hata kwa baadae baada ya kuacha chuo kwa mara ya kwanza? Je, ulikuwa na plan ya kujitengenezea mazingira ili kesho na keshokutwa urudi katika professional uliyokuwa ukiipenda? Au ndo jumla?

Baada ya hayo naomba ili liwe wazi,

HAKUNA CHOCHOTE KINACHOWEZA KUTHIBITISHA MAAMUZI MABAYA NA MAAMUZI MAZURI.

Wanadamu tumeumbwa kuwa mitazamo tofauti na kwa kutumia mtazamo na hisia hapo ndipo maamuzi mabaya na mema uonekana but katika uhalisia hakuna kitu kama hicho.

Mkuu jambo kama hili ungemtafuta mtu ambaye unaamini ukimuelezea anaweza kupa ushauri utakao kutia moyo na kutambua ni wapi ulipokosea na nini kifanyike ili kukupa wepesi, siyo kila sehemu utapata mawazo yenye tija wengine watakuona mpuuzi kweli na siyo kosa Lake, Hapana, ni jinsi mtazamo wake ulivyo ndo unafikia hatua ya kukuona hivyo, huyohuyo mtu anaekuona maamuzi uliyoyafanya kuacha chuo ni ya kipuuzi, kesho ukitoboa maisha na kuelezea yote uliyoyapitia mpka kufanikiwa atakuona shujaa wa tofauti sana na mwenye uwezo mkubwa katika kufanya maamuzi ila kwasasa hilo hawawezi liona hata kidogo, hivyo mkuu elewa kuwa you're paying the price ya maamuzi uliyoyafanya hivyo kubaliana na matokeo ila kwasasa ukiwasikiliza au kupitia comments za baadhi ya watu humu utaumia kichwa na kujishusha sana ili hali hakuna kosa ulilolifanya coz it's a matter of DESTINY, hivyo usiogope hii ni hatua iliyokwisha kuandikwa katika maisha yako na yakupasa kusimama imara ili kuipita vema, usijilaumu kwa lolote linalokutokea katika maisha mkuu mimi mwenyewe hili tayari nimeshawahi lipitia but mpka sasa nawaza mengine kabisa na wale walitoa maneno tofauti kama haya ya humu wengine wamekuwa wafanyakazi wangu hivyo mkuu don't give up, tafuta kwanza amani ya moyo kwa kutuliza akili bila kutumia hisia za maneno au fikra za mzazi au ndugu atanichukuliaje, haya yote weka pembeni, kaa tuliza kichwa kisha brainstorm kutafuta business ideas au kazi tofauti zitakazo hitaji ujuzi wowote ulionao na siyo mtaji wa pesa, yaani hapa inatakiwa akili yako ndo iwe mtaji wako mkubwa, kwa mfano binafsi nilikuwa na ujuzi wa kutumia computer na nilianza kwa kufanya online applications coz nilikuwa na ujuzi wa kufanya application za vyuo, mikopo na mengine pia na hapa ndipo nilipianzia kuendeleza maisha yangu kwa kupata hela ya kulipa kozi na kula wakati nakusanya mtaji.

Mkuu utajiri unaanzia kichwani hivyo ukijua namna ya kutumia fikra zako ipasavyo basi jiandae kuajiri hadi na hao classmates uliowaacha.

Siyo rahisi ila ukiwa na nia ya dhati kutoka ndani ya moyo wako inawezekana. Kila la kheri boss.
 
Back
Top Bottom