Sio vizuri kuwakatisha watu tamaa...hicho ni chumba anachoishi mwenzio sio vizuri kukiita stoo,alafu usikute wewe ni kama mwenzangu na mimi tu bado unaishi kwenu or kwa shemeji yakoPambana mkuu,acha kuishi stoo
Mkuu duka lako lililojaa dhahabu lipo wapiMbona hili duka limejaa foma gold?
Mimi nadili zaidi na pipi pipi, sigara n.k.Mkuu duka lako lililojaa dhahabu lipo wapi
Ndugu watu km hao nshawazoea...!!hao nd wanaotegemea urithSio vizuri kuwakatisha watu tamaa...hicho ni chumba anachoishi mwenzio sio vizuri kukiita stoo,alafu usikute wewe ni kama mwenzangu na mimi tu bado unaishi kwenu or kwa shemeji yako
Then mimi nadili na bidhaa zote..Mimi nadili zaidi na pipi pipi, sigara n.k.
Mkuu unajua bei ya kupata nafasi ya kutandika vitu pale kariakoo? Sio mchezoMkuu pole usikate tamaa ndio mitihani ya Dunia.Yaani hapo ulipofikia ndio maisha halisi ya ujasiriamali yanaanza.
Msingi anza na connection ya karibu then angalia biashara yenye mtaji kidogo pambana nayo.
Nenda hata kkoo ongea na chinga wanaotandika vitu ujifunze mdogo mdogo.cha msingi katika kipindi hiki usiwe mwoga.
Ni kawaida binadamu unapochukua abnormal decisions kukuhukumu so usikate tamaa.
You are the champion.Mateso,dharau, kudondoka na mafanikio yanakungoja genius.msingi komaa
nice...Then mimi nadili na bidhaa zote..
πππππ we jamaa mjanja kweliii!!Binadamu hashindwi kitu jamaa, fanya hata udalali. Nenda Bagamoyo kule watu hawajasoma ukawape shule. Vijijini hapo pwani kuna malofa kibao, nenda kawapige. Unaeza ukaopoa hata mtumishi akawa anakulisha huku unatafuta mdogo mdogo
Naanza kwa kuwasalimu ndugu zangu wa JF,
Moja kwa moja niende kwenye mada, mimi ni kijana umri wa miaka 21, nilimalza A-LEVEL mwaka jana na nikachaguliwa kujiunga chuo.
Ingawaje nilikidhi vigezo ila sikuweza kuchaguliwa kozi niliyoitaka. Kutokana na umasikini na ufukara ulioikumba familia yangu ilinilazimu nikasome kozi hiyo hiyo, hivyo maisha yangu ya chuo sikuwah kuwa na furaha kutokana na kusoma kitu ambacho sikipendi hali iliyopelekea kupata supplementary kozi nne kati ya saba kwa muhula wa kwanza.
Hali hiyo ilinikatisha tamaa na kuamua kuchukua maamuzi magumu ya kuacha chuo, na kujiingiza kwenye ujasiriamali hela ya mwisho ya kujikimu tulipopewa ilinilazimu niondoke nalo na kuanza maisha mapya Jijini Dar. Nilitafuta sehemu mtaani nikalipa pango la miezi mitatu na kuanza biashara ya kuuza mtumba.
Hadi sasa nimepoteza mtaji na sijui nini la kufanya na hadi dakika hii, mama kjijini anajua niko chuoni nasoma nikamkomboe kwenye umasikini.
Kwa hiyo ninachoomba kweli wapendwa dada na kakazangu, kama kuna mtu yeyote anaweza kunipa kazi ya kufanya niko tayari maana hapa pango limeisha na sina hela ya kulipa tena pango. Nawaz nirudi kjijini ila sijui ntamweleza nini mama akanielewa.
Pia, kama kuna mfadhili yuko tayari kunisomesha tuandikiane mkataba nimlipe nikipata kazi kwa riba ile ile ya Bodi ya mikopo maana kule siwezi kukopesheka tena mpaka nilipe kiasi fulani nitashukuru.
Ahsante.