The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 8,082
- 17,838
Yeeeerrrrreeeeh!
Niliacha kusoma vitabu nilipofikisha miaka saba na sitasoma tena kitabu chochote hadi nife.
Siwezi kusoma vitu vilivyoandikwa na wanaume wengine. Huo ni udhaifu.
Yani dume zima unasoma vitu na mawazo yalioandikwa na wanaume wengine that is not right, fundamentally wrong and totally unacceptable.
Ukiwa mwanamme unatakiwa kuwa jasiri unajitegemea siyo kushikishwa akili na madume mengine.
Naam mimi ni mtu kati ya watu walioishi na watu na waliona watu.
Mtaalam wa kufundisha samaki kuogelea.
Nyau de adriz