The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 8,082
- 17,838
Mimi binafsi nakili sijakuelewa kabisa......kwa sababu hata maneno haya unao andika yalisha andikwa na wanaumme wengine buni lugha na maneno yako ili uonekane mwanaume kamiriYeeeerrrrreeeeh!
Niliacha kusoma vitabu nilipofikisha miaka saba na sitasoma kitabu chochote hadi nife.
Siwezi kusoma vitu vilivyoandikwa na wanaume wengine. Huo ni udhaifu.
Yani dume zima unasoma vitu na mawazo yalioandikwa na wanaume wengine that is not right, fundamentally wrong and totally unacceptable.
Ukiwa mwanamme unatakiwa kuwa jasiri unajitegemea siyo kushikishwa akili na madume mengine.
Naam mimi ni mtu kati ya watu walioishi na watu na waliona watu.
Mtaalam wa kufundisha samaki kuogelea.
Nyau de adriz
Mvinyo wa ngapi huu umegongea?Yeeeerrrrreeeeh!

adriz huko wapi wewe nyau rafiki yako ananidhalilisha hukuNakuona hapo wa kwanza kushoto umejiinamia kwa mawazo makali kuhusu vitabu.
Sasa nmeelewa unapata wapi tafakuri zako
View attachment 3120260
Tayari nimeshakuwin kisaikolojia na ndicho hicho haswa nilikuwa nasumbuka kutafuta.afadhari nimepata mtu wakutukana leo!..😂
hiyo simu unayotumia imebuniwa na wanaume, teknolojia, mtandao wa jf,umeme,nguo na vyengine vingi sasa wewe ni zwazwa kenge kabisa ng'ombe mwenye unyumbu!
zwazwa tu!Tayari nimeshakuwin kisaikolojia na ndicho hicho haswa nilikuwa nasumbuka kutafuta.
Hamisi naona umejiunga kwenye Chama.Mbrrrrrrrr Mbrrrrrrrrrrr Mbrrrrrrrr
Kusoma si vibaya bt vibaya ni kukifanya limitation ya ufaham wako ulichosoma.Yeeeerrrrreeeeh!
Niliacha kusoma vitabu nilipofikisha miaka saba na sitasoma tena kitabu chochote hadi nife.
Siwezi kusoma vitu vilivyoandikwa na wanaume wengine. Huo ni udhaifu.
Yani dume zima unasoma vitu na mawazo yalioandikwa na wanaume wengine that is not right, fundamentally wrong and totally unacceptable.
Ukiwa mwanamme unatakiwa kuwa jasiri unajitegemea siyo kushikishwa akili na madume mengine.
Naam mimi ni mtu kati ya watu walioishi na watu na waliona watu.
Mtaalam wa kufundisha samaki kuogelea.
Nyau de adriz
Mimi simo, namsindikiza Mongolian hapa anapiga Nyagi kubwaHamisi naona umejiunga kwenye Chama.
Hamisi uyuda umeanza lini ?.Mimi simo, namsindikiza Mongolian hapa anapiga Nyagi kubwa
Tulia usiuze Siri ya kambiHamisi uyuda umeanza lini ?.
Hahaha Rudi bongo wewee. Sasa hivi Canada wahindi wanaiteka.Ukishazoea kuzoa mavi na kuogesha maajuza, basi akili yako nayo inawaza kiuharo uharo.
Wanapaswa kukurudisha Nanjilinji.