Niliachana na ajira nikaingia kwenye kilimo, na kweli mambo yamejipa

Hekari 20 gunia 150????!!!
Ungetumia upako wa Mwamposa ungepata gunia 700.
 
Kilimo kikikutoa kimekutoa.
Vitunguu vilifanyeje boss?
 
Kiongozi niliweka kapagale kangu hapo milala Kwa sasa nipo kanda ya ziwa Ila kwa katavi nzima hakuna kijiji sjawahi fika na badhii ya maeneo ya rukwa Kwa ramani ya maeneo ya huko bado yapo active kichwani kama maswali mkuu uliza.
rUpo mpanda sehemu gani mkuu
 
Mkoa wa Chunya Kama ulivyoandika . Ardhi ya mkoa WA Chunya imebarikiwq
 
mmasikiniakipata.hakuwezi kufanya Motivation bila kukashifu?
 
Mkuu gunia 7.5 kwa ekari halafu unajisifia? Wewe ni wale wakulima naitaga wajinga! Wewe wala siyo mkulima unabahatisha! Mimi niko na ajira yangu ya 4m per month na kulima pia ninalima! Siwezi kubeza ajira hata siku moja labda kama ni ya mshahara wa Afisa wa chini serikalini!
 
Kilimo cha mpunga kinacholipa na ca uhakika, ni kile kinachofanyika kwenye scheme za umwagiliaji tu. Mfano Dakawa na Mbarali. Nje ya hapo, basi mkulima huwa anabahatisha tu.
 
Huna loloooote mbwembwee tuuu
 
Inaonesha kuna watu unashindana nao kimafanikio kama sio boss wako wazamani aliyekufukuza kazi au jamaa zako waliokucheka ulivo acha kazi anyway hongera
 
Peleka Facebook.
 
ME PIA NATOKEA UBARUKU SO NIMELIMA SANA BONDE LA USANGU. NIMESHANGAA SAANA KUONA EKA 20 KAPATA GUNIA 150. INA MAANA KILA EKA KAPATA GUNIA 7.5 HALAFU ANASEMA AMEPATA FAIDA???? I CANT BUY THE STORY.
 
Chunya ni sehem gani hususa?
 
Usiwadanganye watu waache ajira eti waende wakajiajiri kwenye kilimo Mkuu.
Kilimo kina stress hatarii. Lakini pia ajira inategemeana una ajira gani? Mfano mtu unafanya kazi na basic yako ni 4m plus, na huna stress za kusumbuana na vibarua Wala wadudu huko maporini Kuna haja Gani ya kuacha ajira eti uende ukalime?

Bora nipambane na kibarua changu kikubwa nina uhakika wa kula na kulala pazuri na matibabu kuliko kupambana na shuruba za huko maporini eti kisa niwe tajiriii, no please.

Mjini kutamu bana, nyie wamaporini endeleeni kulima Kisha mtuletee huku mjini sisi tule
 
Wewe jamaa umechanganyikiwa? Dec 14, 2023 ulikuwa mtumishi wa umma na Januari 5, 2024 unasema uliacha kazi ukalime. Hayo mazao kupanda hadi kuvuna ni wiki 2 tu? Kuna uzi wako mwingine unasema wewe uko Chicago Marekani. Bro relax. Kama unapitia changamoto yoyote mwombe sana Mungu akuvushe vinginevyo utaonekana kituko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…