Wewe jamaa umechanganyikiwa? Dec 14, 2023 ulikuwa mtumishi wa umma na Januari 5, 2024 unasema uliacha kazi ukalime. Hayo mazao kupanda hadi kuvuna ni wiki 2 tu? Kuna uzi wako mwingine unasema wewe uko Chicago Marekani. Bro relax. Kama unapitia changamoto yoyote mwombe sana Mungu akuvushe vinginevyo utaonekana kituko
Mods tafadhali msifute huu uzi wangu hili kuwapa funzo watumishi wa umma wapya wanaongia kwenye utumishi wa umma kwa lengo la kujitajirisha kuliko kuwahudumia wananchi Mie ni mtumishi wa umma makao ya nchi kiukweli siku za hapa karibuni nimekuwa na majuto ambaye yanapelekea ufanisi wangu wa...
www.jamiiforums.com