Niliambiwa chuoni wanawake ni wa kumwaga mbona mimi sipati?

Kuna chuo kimoja hv cha ubaharia kinaitwa DMI kipo pembezon mwa stend ya kupanda boti za kwenda zenji niliingia pale mwaka na13 nilienda chukua kozi fupi ilikua balaa,kulikua na wanafunz kumi na moja wa kike wengine wote vidume labda mdau alipiga hapo
 
Dogo umefika chuo soma
Upate maarifa yakuja kukusaidia kitaa huku
Ila kama uko vizuri una watu nyuma yako we kula bata tu let tommorow worry about itself 😃😃😃
Sio una kula bata uko unamaliza unakuja jf tena unauliza jinsi ya kuandika cv
 
Utakuwa umepata Mkopo 100% lakini ukiwa canteen hata kununuliwa demu chips kavu UNAONA TAABU MKUU
 
Nimecheka SANA mkuu
 
Sex ni physical need tunafanya kwa afya. Hiyo ni sehemu ya matumizi kama kula na kuvaa. Savings na biashara zinafanyika pia kwa wanaoweza
Nakusubiri kitaa huku.

Chuo ni miaka kadhaa tu. Wenzako walisema HIVIHIVI leo WANAJUTA.

#YNWA

#YNWA
 
Tumetofautiana mitazamo, mi sikuwaza kupendeza wala kudaka nyapu za wanachuo hao. Mi nliienjoy kula gambe kwa pesa ya boom na kujipooza na nyapu za viwanja tofaut tofauti. Hao watoto stress tu
Kula gambe dogo hutajutia matumizi mabovu ya boom lako.
Umenikumbusha mbali sana mkuu. Hii life style ili nisaidia sana. Nimekula sana gambe chuo. Yaani ni 24/7 huku nawachora madogo walivyokua wana hangaika na mademu zao.
 

[emoji23][emoji23][emoji23] au YouTube
 
Huna hela

 
Nakusubiri kitaa huku.

Chuo ni miaka kadhaa tu. Wenzako walisema HIVIHIVI leo WANAJUTA.

#YNWA

#YNWA
Mkuu wewe nakujua hata kuoa unaogopa. Nawe acha pombe ili tufanye savings kwa pamoja. Mimi siwezi ishi bila kufanya sex, kama wewe unaweza sawa.

Hao rafiki zako ni wale ambao maisha yao ni kuogopa kula hela ya kula? Na sasa unakuwa mtu wa pili humu JF kunitabiria kuteseka mtaani.
 
Dar es Salaam Marine Institute kina watu wachache sana
 
Niko Udom hapa. Mkuu
Sasa wewe unakwama wapi. UDOM si ndio nimeambiwa mna pazia kwenye vile vitanda vyenu vya hostel, mademu mnawafata uko uko hostel zao na mshazoea kabisa wala hamna exile. Kuna ex wangu uko tuliachana kwa sababu ya umbali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…