Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chuo mabinti waliotulia wapo ila huwezi kuwaona kama wewe ni mtu wa vilabu na bata. Wapo mabinti kazi zao ni kanisani kila akiitwa outing anachomoa, ana simu imepasuka screen mwaka mzima anaishi nayo, havai ovyo, anaishi maisha yake ya kawaida. Wapo unawashtukiza hata simu na hukuti uchafu, kampani zao wanafanana wote.Mabinti wa chuo wengi wao hawajatulia na hujikuta wamebebeshwa mimba, na wanamme wengi wao may be 99.9 percent hawajatulia.
Omba Mungu upate msichana alieturia na mwenye hofu na Mungu, haijalishi amesoma ama hajasoma, almuhimu awe Msichana mwema/katulia.
Kwa mabinti,,omba Mungu akujaalie upate kijana mwema, mstaarabu na mtu wa ibada.,,asiwe mlevi, mvuta bangi, mirungi, sigara, umalaya n.k. japo ni wachache sana [emoji3] may be katika 100 ukabahatika wa tano tu [emoji3]
Hata nikupe huchomoi. Unaowajua wamekushinda sembuse ambaye ataanza kukuuliza namba yangu umepata wapi. Najua UDOM gharama za maisha ni kubwa, mademu wa uko changamotoNipe namb yake[emoji23]
😂😂😂 Kabisa mkuu afu wote wao na madem zao wote wanaigiza maisha yao. Jamaa anaigiza nae dem anaigiza full movie yani. Na sio kula madem wengi ni vile tu jamaa ana dem mmoko tu ila anavimba kua anakula madem wengi wakat akili hana na ela hana😂😂, utakula utawalia kwa angle ipi hapo.Umenikumbusha mbali sana mkuu. Hii life style ili nisaidia sana. Nimekula sana gambe chuo. Yaani ni 24/7 huku nawachora madogo walivyokua wana hangaika na mademu zao.
Kabisa mkuu ndege wafananao huruka pamoja.Chuo mabinti waliotulia wapo ila huwezi kuwaona kama wewe ni mtu wa vilabu na bata. Wapo mabinti kazi zao ni kanisani kila akiitwa outing anachomoa, ana simu imepasuka screen mwaka mzima anaishi nayo, havai ovyo, anaishi maisha yake ya kawaida. Wapo unawashtukiza hata simu na hukuti uchafu, kampani zao wanafanana wote.
Nenda Humanity kule bondeni watoto wamejaa au hapo social ukitoka block 4 Kama hujapata demu utakuwa na tatizoNiko Udom hapa. Mkuu
Mkuu upo Udom?Nenda Humanity kule bondeni watoto wamejaa au hapo social ukitoka block 4 Kama hujapata demu utakuwa na tatizo
Nipo Dom ila kitaaMkuu upo Udom?
Sema japo neno moja nirejeshe furaha yanguKwa hiyo ulisoma kwa bidii na kujiandaa kwa ajili hiyo
We ni kama mimi ila tofauti ni moja tuTumetofautiana mitazamo, mi sikuwaza kupendeza wala kudaka nyapu za wanachuo hao. Mi nliienjoy kula gambe kwa pesa ya boom na kujipooza na nyapu za viwanja tofaut tofauti. Hao watoto stress tu
Kula gambe dogo hutajutia matumizi mabovu ya boom lako.
Acha tu mkuu saivi nimehamia uku kwa madem daah ni shida tupu full stress, wanakamua pesa na papuchi za kuzungushwa na kupigwa kalenda sio mda narudi kundini.We ni kama mimi ila tofauti ni moja tu
Mi nilikuwa silewi ila nanunua **** kupindukia so mpka namaliza sikuwa na demu maana papuchi nilikuwa nikitaka napata
Mi ktk criteria za demu nitakae dumu nae awe anatoa papuchi bila nongonongo tofauti na hapo nabiga chiniAcha tu mkuu saivi nimehamia uku kwa madem daah ni shida tupu full stress, wanakamua pesa na papuchi za kuzungushwa na kupigwa kalenda sio mda narudi kundini.