Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,677
- 45,532
Pole sana,ungekutana na mkuyenge mwenzio,.[emoji53][emoji53]Ohhhh my God,kuna siku nilitaka kuja pm kisa avatar!![emoji53][emoji53][emoji53]
Hahahaaya bwana mwanaume mwaminifu kumpata labda uende chato
ya kweli hayo??Ina kheri tele, na sjui why umewaza hayo
Kama unauza tuambie basi Tshs ngapi?Yaani nimeamini nikiandikiwaga message kwamba hakuna kupata mtu wakutulia naye jf nimekuja kukubali hapa nikupotezeana muda from now i will focus in my life.
Ipo siku Mungu atanipatia wangu ila isiwe humu dah hii ni kali
Nitakuwa naamini kitu ambacho hakipo.
Kweli
koh koh kohPole sana,ungekutana na mkuyenge mwenzio,.[emoji53]
Pole sana,ungekutana na mkuyenge mwenzio,.[emoji53][emoji53]
Tena rijali haswaaa
Oh really,..[emoji23][emoji23]am a man my friend..
Naongeza mie sina neno mtoto wa watuongeza nyingine bill kwangu
Sasa shogaangu mtu anakubadili jinsia ufanyaje,..kaona nafaidi sana kuchati naww mrembo mwenzangu khaa,.kuna waja wana roho za maabali...mfyuuuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acha nilale mie khaaaa na mkuyenge tena
Hahaaaa watu muwe fair bhana hahaa..katoto kazuri kakutana na katoto kabaya
Namuuzia nani wapi kuwa naakili mf. Niko Moshi wewe dodoma tutauzianaje?Kama unauza tuambie basi Tshs ngapi?
Ngoja kwanza mmeanzia wapiii ujue nimekutana na hizo tu nimecheka sana kwahiyo alijua we mbebez wangu tunakulana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa shogaangu mtu anakubadili jinsia ufanyaje,..kaona nafaidi sana kuchati naww mrembo mwenzangu khaa,.kuna waja wana roho za maabali...mfyuuuu
Tangu lini?Tena rijali haswaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mm mwanaume kwa behaviourist tuu,.Tangu lini?
Kweli tena endelea tujamani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yaani nimecheka mpaka basiii,..sijui mwenyewe,.sijui kwasababu dia gambe sana,..ahhNgoja kwanza mmeanzia wapiii ujue nimekutana na hizo tu nimecheka sana kwahiyo alijua we mbebez wangu tunakulana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Walah ya kweliya kweli hayo??
AiseeePole sana,ungekutana na mkuyenge mwenzio,.[emoji53][emoji53]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aiseeeeAiseee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yaani nimecheka mpaka basiii,..sijui mwenyewe,.sijui kwasababu dia gambe sana,..ahh