Niliambiwa wanaume hawapo JF

Niliambiwa wanaume hawapo JF

Yaani nimeamini nikiandikiwaga message kwamba hakuna kupata mtu wakutulia naye jf nimekuja kukubali hapa nikupotezeana muda from now i will focus in my life.
Ipo siku Mungu atanipatia wangu ila isiwe humu dah hii ni kali
Nitakuwa naamini kitu ambacho hakipo.
Kweli
Kama unauza tuambie basi Tshs ngapi?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acha nilale mie khaaaa na mkuyenge tena
Sasa shogaangu mtu anakubadili jinsia ufanyaje,..kaona nafaidi sana kuchati naww mrembo mwenzangu khaa,.kuna waja wana roho za maabali...mfyuuuu
 
Sasa shogaangu mtu anakubadili jinsia ufanyaje,..kaona nafaidi sana kuchati naww mrembo mwenzangu khaa,.kuna waja wana roho za maabali...mfyuuuu
Ngoja kwanza mmeanzia wapiii ujue nimekutana na hizo tu nimecheka sana kwahiyo alijua we mbebez wangu tunakulana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ngoja kwanza mmeanzia wapiii ujue nimekutana na hizo tu nimecheka sana kwahiyo alijua we mbebez wangu tunakulana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yaani nimecheka mpaka basiii,..sijui mwenyewe,.sijui kwasababu dia gambe sana,..ahh
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] basi babe wangu tukulane tu hakuna namna woiiii jf hii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yaani nimecheka mpaka basiii,..sijui mwenyewe,.sijui kwasababu dia gambe sana,..ahh
 
Back
Top Bottom