Niliambiwa wanaume hawapo JF

Kwani wanaume wa Jeiefu si ndio hao hao wa kitaa tu...

Utofauti huku kuna aidii feki lakini mioyo na hulka ni zile zile tu...
 
hapana me nimejicommit kwako labda ndio uwe unaniremove kimjini mjini si unajua wewe ndo group admin wangu
Ahahahhahhahaha wallahnimecheka sana usiku huu una maneno, nimeyapenda sana
 
Hivi haya mahusiano ya humu jf huwa yapo kweli au huwa utani tu
 
Pole usikate tamaa,wanaume JF wapo tena wa maana sana inawezekana wewe mwenyewe kuna mahali unakosea..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…