Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,677
- 45,532
[emoji22][emoji22][emoji22]Ulilewa nini?
bila shaka ulilala unonoAhahahhahhahaha wallahnimecheka sana usiku huu una maneno, nimeyapenda sana
Yaani nimeamini nikiandikiwaga message kwamba hakuna kupata mtu wakutulia naye jf nimekuja kukubali hapa nikupotezeana muda from now i will focus in my life.
Ipo siku Mungu atanipatia wangu ila isiwe humu dah hii ni kali
Nitakuwa naamini kitu ambacho hakipo.
Kweli
Hahaha mkuu kumbe upo online !!!" samahani aisee... hahaha Watoto wamjini wanasema ukishayaona manyoya ................😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀 ha ha ha......
Hahaha mkuu kumbe upo online !!!" samahani aisee... hahaha Watoto wamjini wanasema ukishayaona manyoya ................
Kabisaa wafanyaje sasa " na wakiondoka huwa hata hawaagi ""...".... ukiacha mlango wazi watu wanaingia tu"
hahaha...alimpenda Ambiele Kiviele"" so wategemea nini sasa " madame shunie ""...? ngoja niwahi siti jukwaa letu pendwa "" lazima nitakuta mapicha picha Yke " huyu ""Pole sana
Hahahhahahahhaah sio fair
Na nikajaaliwa kuamka salama vile vlle, how are ubila shaka ulilala unono
Wewe acha kuniharibia utasababisha nifungue id mpya
nipo gud namshukuru MunguNa nikajaaliwa kuamka salama vile vlle, how are u
Ha hahahaWewe acha kuniharibia utasababisha nifungue id mpya
We we wape tu usiwe mchoyoYaani nimeamini nikiandikiwaga message kwamba hakuna kupata mtu wakutulia naye jf nimekuja kukubali hapa nikupotezeana muda from now i will focus in my life.
Ipo siku Mungu atanipatia wangu ila isiwe humu dah hii ni kali
Nitakuwa naamini kitu ambacho hakipo.
Kweli