Niliambiwa wanaume hawapo JF

Niliambiwa wanaume hawapo JF

Yaani nimeamini nikiandikiwaga message kwamba hakuna kupata mtu wakutulia naye jf nimekuja kukubali hapa nikupotezeana muda from now i will focus in my life.
Ipo siku Mungu atanipatia wangu ila isiwe humu dah hii ni kali
Nitakuwa naamini kitu ambacho hakipo.
Kweli

Sasa mchumba ulitegemea nini wakati humu ndani 90% ya ID ni za uongo?

Ila usijali kuna BADOO kule nadhani hitajio la mtima wako laweza timizwa...
 
Ukijaribu mmoja au wawili sio kipimo...
Mbona kuna watu wengi tu na wengine wana tafuta wake na hata wapenzi..
 
Katoto kazuri humu wengi watakusumbua sana twende zetu fb tukayajenge.
 
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀 ha ha ha......
Hahaha mkuu kumbe upo online !!!" samahani aisee... hahaha Watoto wamjini wanasema ukishayaona manyoya ................
 
".... ukiacha mlango wazi watu wanaingia tu"

Hahaha mkuu kumbe upo online !!!" samahani aisee... hahaha Watoto wamjini wanasema ukishayaona manyoya ................
 
Yaani nimeamini nikiandikiwaga message kwamba hakuna kupata mtu wakutulia naye jf nimekuja kukubali hapa nikupotezeana muda from now i will focus in my life.
Ipo siku Mungu atanipatia wangu ila isiwe humu dah hii ni kali
Nitakuwa naamini kitu ambacho hakipo.
Kweli
We we wape tu usiwe mchoyo
 
Back
Top Bottom