Niliambiwa wanaume hawapo JF

Yangu mm ya nn halafu nilishasema sipati notification yako yoyote hapa nimerudi tu kwenye thread nimeona umeniquote
ngoja ntalifanyia kazi, tatiza haya mamods yanaudhi unaweza ukawachek leo msg yako ikajibiwa mwezi ujao tatizo likasoviwa mwezi wa 10 yani yanaboa
 
Pole jamani
ngoja ntalifanyia kazi, tatiza haya mamods yanaudhi unaweza ukawachek leo msg yako ikajibiwa mwezi ujao tatizo likasoviwa mwezi wa 10 yani yanaboa
 
pole sana dada Mwenyez Mungu atimize haja ya moyo wako inshaalah!!!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…