Niliambiwa wanaume hawapo JF

Weee demu sijui ukoje, ujue mimi bado sijakusahau??

Ivi unapeleleza watu humu au vipo???

Kwaiyo hapo umetegesha jamaa wakufate PM??

WEWE SIULISEMA YULE WA DP NIBWANAKO OHOOOOO ANA MASTERS, OHOOOO ANATAKA KUKUOA ..OHOOOOO SIJUI NININ???

Mchawi kumbe sio lazima AROGE.
 
Mimi naamini hivi, wanaume sahihi na wanawake sahihi wapo sehem yoyote ile amini kama wapo wabaya lazima wazuri wawepo pia shida n tu ni jinsi ya kumpata
asante
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unajua nimemuonea huruma sasa sijui alikuwa anataka ndoa masikini yaani sijamuelewa unaona haeleweki bwaga achana naye ya nn mmekutana ukubwani muanze kupeana stress
Sijategema,..hizi pole wanatoaga mashemasi church sasa wewe vipii[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mimi naamini hivi, wanaume sahihi na wanawake sahihi wapo sehem yoyote ile amini kama wapo wabaya lazima wazuri wawepo pia shida n tu ni jinsi ya kumpata
Kabisa sio kuamini pekee hata ukijua ndio ukweli huo sio kisa mimi mwanamke mmoja kanizingua ndio ni jumuishe wanawake wote.

Nitakuwa nakosea sana
 
Umekuja kichwa kichwa umetusuliwa saizi unalalamika mamaeeeee. JF kama mjini tu, ni shule tosha.

Nikimuwaza mhusika nasema 'hiiiiiiiiiii' kwa sauti ya jiwe
 
Mkuu unataka kukabaiolojia katoto kazuri japo kapo kwenye maumivu?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unajua nimemuonea huruma sasa sijui alikuwa anataka ndoa masikini yaani sijamuelewa unaona haeleweki bwaga achana naye ya nn mmekutana ukubwani muanze kupeana stress
Si ndo hapo shogaangu maisha yenyewe mafupi haya na tunaishi Mara moja,..em ongeza ya saba bili yangu..kuna vitu bhana kama Mungu ana mkono wake vitakuwa tuu,kama vya kufosi havifiki hata lukwili...
 
Pole usikate tamaa mbona mi nimepata mwanaume mzuri tu ana tabia nzuri ,
Majambazi yapo kila sehemu utapata tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…