carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,562
- 285,591
Pole kwa yaliyokukuta
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa mkuu hao wote waliokukula hawajaona potential kwako ya nini mimi nije kuingia mkenge kwa mtu ambae tumekutana mtandaoni tu.....Unaona ndio hicho mnataka kingine no
Yaani atubariki kwa viwango vya kimataifa tuushangaze ulimwengu,..ooh eeimeeeen,..cheers babe[emoji482][emoji482]Ameen lovie atubariki mpaka tushangae [emoji120][emoji120][emoji120][emoji7][emoji7][emoji7][emoji8][emoji8]
yani mwenzenu analia huku nyie mnagongeana glasi tu.Cheers babe [emoji482][emoji482][emoji482][emoji482][emoji482]
Ninachokataa ni wewe kutujumuisha na hao waliowahi fanya maongezi na weweWatu wanasema hivyi unavyosema ila ukianza maongezi tu zero.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] n kweli nifanyie mchakatoHahaha pole sana katoto, tafuta mdoli
like seriouslyHUMU NI WANAUME ZA WATU TU KWA HIYO BECARE NO MAN WILL BE SERIOUS INSIDE HERE BECAUSE ALL OF THEM ARE MARRIED
Huyu ana lake jambo na twalijua hiloPole jamani umepatwa na nn
Mim ni mekuwa matusi nimeshayachoka sasa mimi ni hivi comment niache wanaume wahumu no more sitaki bureeeWeee demu sijui ukoje, ujue mimi bado sijakusahau??
Ivi unapeleleza watu humu au vipo???
Kwaiyo hapo umetegesha jamaa wakufate PM??
WEWE SIULISEMA YULE WA DP NIBWANAKO OHOOOOO ANA MASTERS, OHOOOO ANATAKA KUKUOA ..OHOOOOO SIJUI NININ???
Mchawi kumbe sio lazima AROGE.
No sijapatwa nimeshtukaHuku ni kupatwa kwa Katoto kazuri
Kumbee eeeh?? Haya banaHuyu ana lake jambo na twalijua hilo
ALL OF THEM ARE MARRIED
Kivipi mbona Iceman 3D is not married, Ningendako either
jaribu bahati yakoHahahaha!! hakika kwa kwel, umenena vyema.
hata mimi hunitaki??Mim ni mekuwa matusi nimeshayachoka sasa mimi ni hivi comment niache wanaume wahumu no more sitaki bureee
Ingekuwa watu wanatumia Ubongo kama wewe ingekuwaga raha naomba urafiki bhasi kama utojali ..Haha asante rafiki, asante sana
Haha mbona wanatumia? Ombi lako limekubaliwa bila hiyana shaka ondoaIngekuwa watu wanatumia Ubongo kama wewe ingekuwaga raha naomba urafiki bhasi kama utojali ..