Niliambiwa wanaume hawapo JF

Niliambiwa wanaume hawapo JF

Unaona ndio hicho mnataka kingine no
Sasa mkuu hao wote waliokukula hawajaona potential kwako ya nini mimi nije kuingia mkenge kwa mtu ambae tumekutana mtandaoni tu.....

Hao waliokutafuna mwanzo ndio wa Kupambana nao wakuoe mkuu.....
 
Ameen lovie atubariki mpaka tushangae [emoji120][emoji120][emoji120][emoji7][emoji7][emoji7][emoji8][emoji8]
Yaani atubariki kwa viwango vya kimataifa tuushangaze ulimwengu,..ooh eeimeeeen,..cheers babe[emoji482][emoji482]
 
Weee demu sijui ukoje, ujue mimi bado sijakusahau??

Ivi unapeleleza watu humu au vipo???

Kwaiyo hapo umetegesha jamaa wakufate PM??

WEWE SIULISEMA YULE WA DP NIBWANAKO OHOOOOO ANA MASTERS, OHOOOO ANATAKA KUKUOA ..OHOOOOO SIJUI NININ???


Mchawi kumbe sio lazima AROGE.
Mim ni mekuwa matusi nimeshayachoka sasa mimi ni hivi comment niache wanaume wahumu no more sitaki bureee
 
Mnakuwa na haraka pupa na kuchagua sana yakiwakuta mnashusha lawama wanaume tupo tumetulia zetu ngoja tu siku mtaamini
 
Back
Top Bottom