Niliambiwa wanaume hawapo JF

Haya hata mimi niliamini hivyo kumbe zero
 
Uvumilivu unahitajika sana unapoamua kufanya maamuzi mengine mtu unajifunza kutokana na makosa
Kabisa, na s kukurupuka wala kua na haraka mana mwisho wa siku utaja ingia mahali ujute kumbe ulikua na nafasi ya kuvumilia
 
Sasa katoto kazuri shida yako ni nn hasa mbona unayumba kama jani la mgomba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…