katoto kazuri
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 6,124
- 5,745
- Thread starter
- #141
Nimeenda leoBas kamtolee Mungu sadaka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeenda leoBas kamtolee Mungu sadaka
Haya hata mimi niliamini hivyo kumbe zeroKababy, hebu relax
Ndoa kama umepangiwa utaolewa mama, watu wanakutana facebook wnaaoana nini jf?? Umekutana na huyo kakutenda mbona unajisahau? Kua samaki mmoja akioza ndoo wote?? Jf ni sinia pakua unachoweza sio kila mahusiano yataishia ndoa shukuru umegundua mapema kunywa maji, pumua, ishi maisha yako
Ifike wakati ukue nauww mtu mzima nasio mbwembweMim ni mekuwa matusi nimeshayachoka sasa mimi ni hivi comment niache wanaume wahumu no more sitaki bureee
Yeye analia leo,.wengine tulilia jana,..maisha lazima yaendelee chief,.
Haya maaHaya hata mimi niliamini hivyo kumbe zero
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nakazia mm na gundi kabisaa
Picha gani?
Kabisa hua tuna haraka na ndivo ilivo
Are you sure??HUMU NI WANAUME ZA WATU TU KWA HIYO BECARE NO MAN WILL BE SERIOUS INSIDE HERE BECAUSE ALL OF THEM ARE MARRIED
....na kosa si kosa kosa kurudia hilo kosa,.Uvumilivu unahitajika sana unapoamua kufanya maamuzi mengine mtu unajifunza kutokana na makosa
Kabisa, na s kukurupuka wala kua na haraka mana mwisho wa siku utaja ingia mahali ujute kumbe ulikua na nafasi ya kuvumiliaUvumilivu unahitajika sana unapoamua kufanya maamuzi mengine mtu unajifunza kutokana na makosa
Sasa katoto kazuri shida yako ni nn hasa mbona unayumba kama jani la mgomba?Mimi sijaliwa humu wala sijaumuzwa nimeona tu huku hakuna dili kila anayekuja hanipendezi yanini nikae kimya kila.mtu anakuja na vijistress wengine wamejichokea wengine ngono tu wengine hawajui wanachokitaka yaani sasa kwanini uhangaike ningeliwa nisingeongea ninaibu
....na kosa si kosa kosa kurudia hilo kosa,.
Kumbe watakatifu tunapishana nao kila siku barabarani,.Ewaaaaa
Ni pale unaporudia kosa na kuona wanaume wote malaya
Yes i am sureAre you sure??
Kumbe watakatifu tunapishana nao kila siku barabarani,.
HahaaaaHaikuhusu