katoto kazuri
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 6,124
- 5,745
- Thread starter
-
- #161
ume tujaribu wote, ukaona tupo the same!!!Yes i am sure
Rafiki you always sound like a man tena wa kanda maalum!Oyaaa una bia ya ngapi hapo[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaaaa watu muwe fair bhana hahaa..katoto kazuri kakutana na katoto kabaya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unajua nimemuonea huruma sasa sijui alikuwa anataka ndoa masikini yaani sijamuelewa unaona haeleweki bwaga achana naye ya nn mmekutana ukubwani muanze kupeana stress
ebu njoo mtoto mlito watu wanacheza na moyo wako mm nilizaliwa kwa ajili yakoYaani nimeamini nikiandikiwaga message kwamba hakuna kupata mtu wakutulia naye jf nimekuja kukubali hapa nikupotezeana muda from now i will focus in my life.
Ipo siku Mungu atanipatia wangu ila isiwe humu dah hii ni kali
Nitakuwa naamini kitu ambacho hakipo.
Kweli
wala haupo pending wewe ni regularYan umenieka pending?? Ukiachwa huko huku usikaribie
Haahhaa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaaaa watu muwe fair bhana hahaa..katoto kazuri kakutana na katoto kabaya
ongeza nyingine bill kwanguKhaaaa sasa sisi tusigongeane glass sababu mwenzetu analia acha maisha mengine yaendelee tu
Sasa mbona unahaha nje kama vile mtu alokosa kula kwa siku tatu mfululizo?wala haupo pending wewe ni regular
Tukuache na hizo presha zakoo sina muda na nyie sema utakaloBila mwanaume huwezi kuishi??!....hebu kitulize kidude chako huko!!
unajua sikuelewi hivi hao watu sio umewatoa humu JF au mtaani???Kwa sasa ni ngumu nimechoka tu kuwa na watu sio
Uongooo mimi sijatendwa humu eleweni humu kuna watu waliooa tu wenye stress wenyw shida zote humu watu wamejichokea sio utaniebu njoo mtoto mlito watu wanacheza na moyo wako mm nilizaliwa kwa ajili yako
akuuu nimetulia mie mtoto wa watuSasa mbona unahaha nje kama vile mtu alokosa kula kwa siku tatu mfululizo?
[emoji23][emoji23][emoji23] hii ni dalili ya genye baridi..Humu no one can make me feel like a woman no one wote zeroooo big time
Naogopa usije nifie na stress nimechokaebu njoo mtoto mlito watu wanacheza na moyo wako mm nilizaliwa kwa ajili yako