Niliambiwa wanaume hawapo JF

Niliambiwa wanaume hawapo JF

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unajua nimemuonea huruma sasa sijui alikuwa anataka ndoa masikini yaani sijamuelewa unaona haeleweki bwaga achana naye ya nn mmekutana ukubwani muanze kupeana stress
Hahaaaa watu muwe fair bhana hahaa..katoto kazuri kakutana na katoto kabaya
 
Yaani nimeamini nikiandikiwaga message kwamba hakuna kupata mtu wakutulia naye jf nimekuja kukubali hapa nikupotezeana muda from now i will focus in my life.
Ipo siku Mungu atanipatia wangu ila isiwe humu dah hii ni kali
Nitakuwa naamini kitu ambacho hakipo.
Kweli
ebu njoo mtoto mlito watu wanacheza na moyo wako mm nilizaliwa kwa ajili yako
 
huyo jamaa fala anapiga mzigo chini bila kutoa pension
 
ebu njoo mtoto mlito watu wanacheza na moyo wako mm nilizaliwa kwa ajili yako
Uongooo mimi sijatendwa humu eleweni humu kuna watu waliooa tu wenye stress wenyw shida zote humu watu wamejichokea sio utani
 
Back
Top Bottom