Niliambiwa wanaume hawapo JF

Niliambiwa wanaume hawapo JF

katoto kazuri

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2018
Posts
6,124
Reaction score
5,745
Yaani nimeamini nikiandikiwaga message kwamba hakuna kupata mtu wakutulia naye jf nimekuja kukubali hapa nikupotezeana muda from now i will focus in my life.
Ipo siku Mungu atanipatia wangu ila isiwe humu dah hii ni kali
Nitakuwa naamini kitu ambacho hakipo.
Kweli
 
Katoto kazuri umepatwa na nini my
 
Yaani nimeamini nikiandikiwaga message kwamba hakuna kupata mtu wakutulia naye jf nimekuja kukubali hapa nikupotezeana muda from now i will focus in my life.
Ipo siku Mungu atanipatia wangu ila isiwe humu dah hii ni kali
Nitakuwa naamini kitu ambacho hakipo.
Kweli
relax
kunywa maji ya kutosha
sikiliza mziki

nahisi username yako ilikuponza.....karibu JF once again
 
Back
Top Bottom