Niliambiwa wanaume hawapo JF

Niliambiwa wanaume hawapo JF

Yaani nimeamini nikiandikiwaga message kwamba hakuna kupata mtu wakutulia naye jf nimekuja kukubali hapa nikupotezeana muda from now i will focus in my life.
Ipo siku Mungu atanipatia wangu ila isiwe humu dah hii ni kali
Nitakuwa naamini kitu ambacho hakipo.
Kweli

Pole.. Dunia ni tambara bovu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] basi babe wangu tukulane tu hakuna namna woiiii jf hii
Kuna wanazengo humu wana donge sio bure[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]haiwezekani napewa jinsia nyingine bila ridhaa yangu dah
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanakuoneaje donge babe acha tukulane tu wafurahi
Kuna wanazengo humu wana donge sio bure[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]haiwezekani napewa jinsia nyingine bila ridhaa yangu dah
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utaazima vipi na wakati umeshaambiwa we ni dume upo na mkuyenge wako og
Ohooo,.sasa tunakulanaje....ngoja nikaazime dushe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom