Niliamini ananipenda kumbe alinifanya kichekesho

Lewa hata leo jioni tajiri utuletee madini😁😁😁,
maana yote aliyoyasema yalitimia (kasoro la kukutana kimwili tu) h
Hii kitu mpaka leo bdo kinauuma πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† ni sawa umefanya mengi, umemchekesha umefuga ndege asiyeonekana umemfta mpaka Newala lakini tunda ukakosa.
 
Hakika Tajiri huna bayaπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ, Hongera kwa uandishi lakini hata kama ni kisa cha kweli umekifanya kiwe exciting🫑🫑
Asante mkuu.
Sina ujuzi sana wa uandishi lakini kuna kipindi nilikuwa naandika simulizi (za kutunga) Facebook, aaa nilikuwa nahama na kijiji.
Sema sikuhizi sijifunzi tena, sijuwi ni nini kinaendelea katika dunia ya uandishi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…