Muimba SINGELI
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 4,211
- 10,864
- Thread starter
- #381
Sawa mkuu mkuu, ndiyo maana nimesema 'kwa sasa' sijayafunga maneno kwasababu najua tunabadilika.Tajiri hujapendwa vizuri ndo maana una vinyongo na kina Laima😁, ukifinyiwa kwa ndani utabadili msimamo,ukiachana na hivyo Mapenzi ndo sehemu pekee nchini ambapo ukichelewa kufika unasifiwa