Muimba SINGELI
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 4,211
- 10,864
- Thread starter
-
- #381
Sawa mkuu mkuu, ndiyo maana nimesema 'kwa sasa' sijayafunga maneno kwasababu najua tunabadilika.Tajiri hujapendwa vizuri ndo maana una vinyongo na kina Laimaπ, ukifinyiwa kwa ndani utabadili msimamo,ukiachana na hivyo Mapenzi ndo sehemu pekee nchini ambapo ukichelewa kufika unasifiwa
Tayari mwisho mkuuShusha madudeee
Naam nimekwisha wasili tajiri.
πππ acha tu mkuu, nilikuwa daraja la furaha kwa mke wa watu mtarajiwa.Yaani tajiri ulikua comedian
Shida yenu huwa mnaonekana hampo serious, pisi inaweza kukuelewa ila haikuelewiπππ acha tu mkuu, nilikuwa daraja la furaha kwa mke wa watu mtarajiwa.
Ukijiuliza mwenyewe utachewa kupata majibu mkuu.Kuna swal hua najiuliza sana kua mental health people wa hapa JF hua wanapata engagement kubwa hata kwa kuongea mambo ya kijinga na made up stories..
Mkuu umetumia busara hapo kwa kuwa ni mimi, ingekuwa ni mtu mwingine ungeandika 'shida yenu huwa mnaonekana hamnazo'Shida yenu huwa mnaonekana hampo serious, pisi inaweza kukuelewa ila haikuelewi
Lazima utumie tafsida kwa matajiri ππππ€£π€£π€£
Mkuu umetumia busara hapo kwa kuwa ni mimi, ingekuwa ni mtu mwingine ungeandika 'shida yenu huwa mnaonekana hamnazo'
ππ
πππ πππLazima utumie tafsida kwa matajiri πππ
Tajiri huna bayaNimetekeleza ombi lako mkuu, nilitaka kuku tag lakini naona umefika mwenyewe
Abeeee, sante sana tajiri wetu, huna baya wala deniππ
πππ. Hana baya tajiri.Tajiri huna baya
Ya Hanifa umeshaisoma?πππ. Hana baya tajiri.
Siku akileta kisa cha chioma wa tandahimba tushituane wadau. ππππ
Asante sana mkuuTajiri huna baya. Hongera sana NA asante kwa kutuburudisha bila malipo.
Nimependa jinsi ambavyo hujayumbishwa na wasomaji. Wapo walokwambia chai, lakini hukuyumba. Wapo walotaka kuona unamla laima wetu wa newala lakini ulisimama katika uhalisia wa kisa chako bila kujimwambafai.
Bravo.