Niliamua Kuitest Nissan Dualis barabarani

Mkuu vipi bado gari ipo? Vipi changamoto zake maana naona mtaani bei zake ziko chini sana!
 
Ni kwel angekuja kutupa mrejesho maana dah hizi chuma kiukwl zimeuteka moyo wangu na mtaan zinauwa bei chee sana
 
Ni kwel angekuja kutupa mrejesho maana dah hizi chuma kiukwl zimeuteka moyo wangu na mtaan zinauwa bei chee sana
Gari bado ipo na nakula mitaa

service inakula kwa wakati sahihi, sijawahi kutana na tatizo lolote, kama nitanunua gari basi ni Dualisi tena

Naelekea befoward again, maana nilikaa masaa 4 na dada mmoja pale befoward kuchagua gari tu
 
Dar to Singida ni kilometa ngapi za odometer? (sio google map)
 
Upadates:

Dar es Salaam to Dodoma_( Masaa 5 net) mafuta yaliyotumika 3/4 tank

Huu ni muda ambao nishautumia pasipokuwa na ligi na mtu yeyote, isipokuwa baada ya kuuanza mkoa wa Dodoma kuna Cruser kilimo kwanza STL
na Range Rover Sport niliamua kwenda nazo sambamba na nikaziacha zikae mbele kama chambo...

Saa 11 alfajiri chuma inaondoka Dar, saa 3 kasoro asubuhi chuma inanusa Dodoma, brak time Puma Msamvu kuongezea wese...

Gari: Toyota Vanguard
 
Hopefully ulibeba na Fire Extinguisher kabisa...
 
Hujakutana na VX V8 mkuu? Hawa jamaa wanatembea aise. Unaichapa mashine 190kph halafu bado wanakuchapa kama umesimama sina ham nao. Unakaza pedal mpaka tako lakini ndio kwanza inazidi kupotea
Nadhani uoga nao ni factor ya kupitwa na kuwapita wenzako kwenye ligi. Uoga wa ajali na uoga wa fines barabarani.
 
Nadhani uoga nao ni factor ya kupitwa na kuwapita wenzako kwenye ligi. Uoga wa ajali na uoga wa fines barabarani.
Unachokisema ni kweli ila kwa mazingira yangu nilikuwa naikandamiza mashine kwa uwezo wake wote wa mwisho iliyokuja nao kutoka Japan. Na kwa njia iliyonyooka kisahani kinasoma 180km ila naikopea mpaka 180+kph(181-190)kph, gari ilikuwa mark 2 GX110 kwa kipindi hiko.
 
Duh watu mna hatari 180?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…