Niliamua kutapeliwa na Forex nikiwa na akili zangu timamu

Niliamua kutapeliwa na Forex nikiwa na akili zangu timamu

ZINGATIO Namba 2:::--Sio kila mkulima akilima atafanikiwa katika kilimo chake wengine wataishia kupata chakula tu wengine watapata na akiba kidogo wengine watakuwa mabilionea
Hii imekuwa nukuu yangu ya siku.

Japo ndugu zetu wengine wanajitoa ufahamu na kupingana na hili.
1537788059336.png


Changamoto kubwa - Wengi wanao zungumzia forex huwa wanasahau kuzungumzia upande wa pili wa hasara katika hii biashara
1537788293231.png

Ni nadra sana kukuta screenshot yenye wekundu kama hii.
1537788397888.png


FX ina pande mbili
1. Hakuna biashara yenye HASARA kubwa kama FOREX ( waweza kuwa na mtaji wa 10K, ila within 5min ukawa na ZERO balance)
na
2. Hakuna biashara yenye FAIDA kubwa kama FOREX ( Waweza anza na USD 100 baada ya muda ukawa na 1K balance)

Kupata Faida au hasara inategemea mambo mawili
1. SKILLS
na
2. EMOTIONS

Ukiweza kujizibiti na kutawala emotions zako , na una skills sahihi, basi hata ukiwa na USD 100, inawezekana kabisa baada ya mwezi (Pia hata kwa wiki inawezekana) ukawa na USD 1,000
 
Naona jamaa anatajataja midolaa tu ili watu wavutikee etii, [emoji23][emoji23], my friend, haji mutuu hukooo!!!
 
Hizi mambo za forex sijui na ndugu yake Bitcoin sijawahi hata kufikilia kujaribu sabb nilichogundua kuna wanaopiga pesa na wanaopigwa pesa, mfano nimeuona kwa Mama yangu mdogo humwambii kitu kuhusu Forex maana imemtajirisha kabsa kapiga mamilion akiwa kwenye sofa tu ila pia wapo ambao wanalia na kusaga meno hawataki hata kuisikia.
 
Naona jamaa anatajataja midolaa tu ili watu wavutikee etii, [emoji23][emoji23], my friend, haji mutuu hukooo!!!
Ha ha ha ha kusona na kuelewa hakuhitaji elimu ya chuo brooo
sijaandika kumvutia mtu hapa ila nashangaa hata wewe umevutika, soma upya basi urudie kuelewa brooo
sijaja hapa kumconvice mtu wala kusaidia mtu
 
Kikolo umanyile jijugwe? Maana nine ngunyoshwa ukumanyila ila akabhalilo ko nganako.
Ha ha ha ha fijo ngahombamo nasiku nimwene
isemina silipo isita kuhombela nyingi itolo kukuti itolo kwipemenda kanunu pakumanyila mma kumanya kanunu kangi mbibimbibi itolo.
Loli jikulonda gwiketege fijo papo ubagile nkutaga ihela syako syosya
 
Back
Top Bottom