Niliamua kutapeliwa na Forex nikiwa na akili zangu timamu

Wanaoanza kubet mara nyingi mbetio wa kwanza wanakulaga.

Wanakua Addicted sasa wanaanza kubet pesa nyingi ndo sasa zinaanza kupigwa !!
 
Forex is not for everybody.... especially Forex is not for stupids (Vilaza) mimi na demo yangu ni mwendo wa kupiga virtual profit soon nadeposit hope next month's end ntaanza kudownload zangu USD.
 
Ha ha ha ha fijo ngahombamo nasiku nimwene
isemina silipo isita kuhombela nyingi itolo kukuti itolo kwipemenda kanunu pakumanyila mma kumanya kanunu kangi mbibimbibi itolo.
Loli jikulonda gwiketege fijo papo ubagile nkutaga ihela syako syosya
Leka niipule tasi kikolo, pho ngusuma gwise kuja mentor ghwangu. Maana ughwe akuja Prof mpaka isiku ili anghulonda umanyisye kyusa.
 
Usiwatoneshe Machungu ya ONTARIO,wewe kama unapiga hela wewe endelea kupiga KIMYA KIMYA,Wenzako wamelizwa humu...Kama wewe hayajakukuta shukuru mungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…