Ndio zikaongezeka toka 200usd hadi 400, au?miezi miwili na wiki moja
Mkuu kwahyo ukiwa na 200usd ukawithdraw 380usd ni utapeli au nimeelewajeHabari wana jf
naambatanisha na screenshot kutoka account yangu na nimeacha ubini tu wa kitanzania
Ili ujulikane kweli ni account yangu mimi mtanzania.
Nikiwa mdogo sana nilikuwa naamini kuwa unaweza kuwa na kazi fulani au jambo fulani ukatumia akili tu lakini ukaishi,
niliamini sana hiyo kitu lakini sikuweeza kupata mazingira sahihi siku zote.
maisha yakiwa yameendela sana baaade sana na ulimwengu unazidi kukua kwa utandawazi
niliikuta issue moja mtandano iq option nilikuwa interested sana lakini sikuweza kuifanya sababu ya mtaji, na wala sikuijua risk yake enapo ningeweza kuwekeza hela yangu
ila kila nikirade na demo account ndio nilikuwa naona napata faida tuuu so nikaona ni jambo la faida tu siku zote pasipo kujua kama naweza poteza hela yangu na kisha nikaishia kupata pressure tu.
ila baada ya mda kidogo nikakutana na kitu FOREX kwa watu fulani pamoja na JF nilipoigoogle na kupitia mambo yawatu mbalimbali nikajua kumbe hata ile iq option ilikuwa forex ila sikuijua kwa namna hiyo.
Pia nilijonea hapa JF jinsi watu wa Forex wanavyokandamizwa na kusemwa juu ya utapeli huo wakisasa huku zikiambaana na kampuni tofauti na forex ambazo zina mipigo inayoendana.
aisee mimi kwangu huwa simamini hadi initokee namimi, kwa ufupi siwezi amini ni sumu hadi nile inidhuru nikipata nafsi ya kupona ndio nitasema kweli bana hii nisumu nikifa basi mtasema alikufa kwa ubishi wake.
Kwakweli forex ni utapeli jamani msithubutu kufana hii kitu msije mkatapeliwa kabisaaaView attachment 876199
Jana Usiku Hadi leo Asubuhi nimepata USD 494 Yaaani simple kabisaaa,
Balance yangu unaweza isoma mwenyewe hapo jamani pia nisha fanya withdraw kama nusu ya hiyo balance wana JF.
Kwakweli huu ni utapeli jamani nilideposit kama usd 200 kwa majaribio tu, Si mnaijua ile michezo yakuchangiana?
basi kule kazini mimi ndio mwenyekiti nilipopokea hela sikumpa mwenye zamu nikajifanya nimepata dharula na kazini sikwenda nikawaambia nimesafiri nimerudi kwetu mbeya kuna tatizo.
Kumbe niko ndani na Hela nimeiweka Forex, Sijui ikawaje nikajikuta asubuhi deposit ya USD 200 Jioni Withdraw ya USD 380.
Jamani Ni Utapeli tu( Nimecheza Na Demo kwa Miezi mi4)
NIkakutana Na Uzi hapa unaeleza juu ya Cent account yaani unakuwa unadeposit usd 1 lakini kule inaingia USD 100 basi nikadeposit USD 10 kule ikasoma USD 1000 nikacheza nahiyo Cent forex kwa miezi mitatu tena baada ya hapo nikajiridhisha kuwa naweza fungua LIVE FOREX ACCOUNT
Ambapo ndio nilitumia pesa kama nilivo waambia hapo juu.
ZINGATIO Namba 1:::--- Sipo hapa kumshauri mtu ajiunge na Forex ila nakazia tu kauli ya kusema Forex Ni Utapeli Proof Yangu Hiyo hapo Juu.
ZINGATIO Namba 2:::--Sio kila mkulima akilima atafanikiwa katika kilimo chake wengine wataishia kupata chakula tu wengine watapata na akiba kidogo wengine watakuwa mabilionea
ZINGATIO Namba 3:::---Ukikutana na watu nichongo nawe ziba lako jicho moja uwe chongo.
ZINGATIO LA MWISHO:::: Hakuna Mafanikio utakayoletewa na kumbuka sio wanadamu wote tutakuwaMabilionea na kumbuka kupata fedha sio mafanikio na mafanikio hayaji ukubwani bali ni maisha yetu ya kila siku
Nmepita hata sijaelewa hebu nieleweshe mkuuViewing payed advertising sites lusmoney.club - Welcome!
guyzz jaribuni na hapo ni rahisi kutengeneza hela. Imani yako ndo itayokubeba.
Huombwi hela yoyote yaan.
Tatizo wanaointroduce watu wengine kwny Forex hawasemi khs hasara,wanauza ndoto tu ilimradi wamepata pesa za mentorship.Hii imekuwa nukuu yangu ya siku.
Japo ndugu zetu wengine wanajitoa ufahamu na kupingana na hili.
View attachment 876309
Changamoto kubwa - Wengi wanao zungumzia forex huwa wanasahau kuzungumzia upande wa pili wa hasara katika hii biashara
View attachment 876311
Ni nadra sana kukuta screenshot yenye wekundu kama hii.
View attachment 876312
FX ina pande mbili
1. Hakuna biashara yenye HASARA kubwa kama FOREX ( waweza kuwa na mtaji wa 10K, ila within 5min ukawa na ZERO balance)
na
2. Hakuna biashara yenye FAIDA kubwa kama FOREX ( Waweza anza na USD 100 baada ya muda ukawa na 1K balance)
Kupata Faida au hasara inategemea mambo mawili
1. SKILLS
na
2. EMOTIONS
Ukiweza kujizibiti na kutawala emotions zako , na una skills sahihi, basi hata ukiwa na USD 100, inawezekana kabisa baada ya mwezi (Pia hata kwa wiki inawezekana) ukawa na USD 1,000
unatumia indicator yoyote mkuu??200usd
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]Naona jamaa anatajataja midolaa tu ili watu wavutikee etii, [emoji23][emoji23], my friend, haji mutuu hukooo!!!
Mkuu hii kitu naionaga ila utendaji wake ndio shida kuujuaViewing payed advertising sites lusmoney.club - Welcome!
guyzz jaribuni na hapo ni rahisi kutengeneza hela. Imani yako ndo itayokubeba.
Huombwi hela yoyote yaan.
Pole mkuu umekuja jukwaani wakusaidie kulia
utapeli kama uliofanyiwa huu ndo unafanya watu tuendelee kupenda kutapeliwa tuuu, matapeli kama templerfx, tickmill, fbs, fxtm na wengine muendelee kututapeli tu jamani sie tupo tayari kutapeliwaHabari wana jf
naambatanisha na screenshot kutoka account yangu na nimeacha ubini tu wa kitanzania
Ili ujulikane kweli ni account yangu mimi mtanzania.
Nikiwa mdogo sana nilikuwa naamini kuwa unaweza kuwa na kazi fulani au jambo fulani ukatumia akili tu lakini ukaishi,
niliamini sana hiyo kitu lakini sikuweeza kupata mazingira sahihi siku zote.
maisha yakiwa yameendela sana baaade sana na ulimwengu unazidi kukua kwa utandawazi
niliikuta issue moja mtandano iq option nilikuwa interested sana lakini sikuweza kuifanya sababu ya mtaji, na wala sikuijua risk yake enapo ningeweza kuwekeza hela yangu
ila kila nikirade na demo account ndio nilikuwa naona napata faida tuuu so nikaona ni jambo la faida tu siku zote pasipo kujua kama naweza poteza hela yangu na kisha nikaishia kupata pressure tu.
ila baada ya mda kidogo nikakutana na kitu FOREX kwa watu fulani pamoja na JF nilipoigoogle na kupitia mambo yawatu mbalimbali nikajua kumbe hata ile iq option ilikuwa forex ila sikuijua kwa namna hiyo.
Pia nilijonea hapa JF jinsi watu wa Forex wanavyokandamizwa na kusemwa juu ya utapeli huo wakisasa huku zikiambaana na kampuni tofauti na forex ambazo zina mipigo inayoendana.
aisee mimi kwangu huwa simamini hadi initokee namimi, kwa ufupi siwezi amini ni sumu hadi nile inidhuru nikipata nafsi ya kupona ndio nitasema kweli bana hii nisumu nikifa basi mtasema alikufa kwa ubishi wake.
Kwakweli forex ni utapeli jamani msithubutu kufana hii kitu msije mkatapeliwa kabisaaaView attachment 876199
Jana Usiku Hadi leo Asubuhi nimepata USD 494 Yaaani simple kabisaaa,
Balance yangu unaweza isoma mwenyewe hapo jamani pia nisha fanya withdraw kama nusu ya hiyo balance wana JF.
Kwakweli huu ni utapeli jamani nilideposit kama usd 200 kwa majaribio tu, Si mnaijua ile michezo yakuchangiana?
basi kule kazini mimi ndio mwenyekiti nilipopokea hela sikumpa mwenye zamu nikajifanya nimepata dharula na kazini sikwenda nikawaambia nimesafiri nimerudi kwetu mbeya kuna tatizo.
Kumbe niko ndani na Hela nimeiweka Forex, Sijui ikawaje nikajikuta asubuhi deposit ya USD 200 Jioni Withdraw ya USD 380.
Jamani Ni Utapeli tu( Nimecheza Na Demo kwa Miezi mi4)
NIkakutana Na Uzi hapa unaeleza juu ya Cent account yaani unakuwa unadeposit usd 1 lakini kule inaingia USD 100 basi nikadeposit USD 10 kule ikasoma USD 1000 nikacheza nahiyo Cent forex kwa miezi mitatu tena baada ya hapo nikajiridhisha kuwa naweza fungua LIVE FOREX ACCOUNT
Ambapo ndio nilitumia pesa kama nilivo waambia hapo juu.
ZINGATIO Namba 1:::--- Sipo hapa kumshauri mtu ajiunge na Forex ila nakazia tu kauli ya kusema Forex Ni Utapeli Proof Yangu Hiyo hapo Juu.
ZINGATIO Namba 2:::--Sio kila mkulima akilima atafanikiwa katika kilimo chake wengine wataishia kupata chakula tu wengine watapata na akiba kidogo wengine watakuwa mabilionea
ZINGATIO Namba 3:::---Ukikutana na watu nichongo nawe ziba lako jicho moja uwe chongo.
ZINGATIO LA MWISHO:::: Hakuna Mafanikio utakayoletewa na kumbuka sio wanadamu wote tutakuwaMabilionea na kumbuka kupata fedha sio mafanikio na mafanikio hayaji ukubwani bali ni maisha yetu ya kila siku
HahaUpati mtu apa wewe...kajipange upya.
hata mimi sijaelewa anachosema huyu dubuNisaidieni kufafanua mlioelewa...nimechaji betri imegoma ...