Niliandamana Tarehe 29 na nitaandamana tena ikibidi

MUNGU AWALAZE PEMA MASHUJAA WOTE WALIOTANGULIA MBELE ZA HAKI KWENYE UWANJA WA MAPAMBANO
 
Naion wave 2 ni kuwa waandamanaji nao watakuwa wamejiandaa kuua .na hapo ndo balaa litakuwa kubwa maana wao ni wengi kuliko wazuiao..

Hii issue ya kuwafata raia majumbani haikuwa fair kabisa na hata kutumia bunduki za moto bado ilikuwa changamoto kubwa.
 
Hakikisha una andaa body armor na silaha ya moto iwe jino kwa jino
 
Nakupa nishani ya Ushuja na Heshima tutakuwepo pamoja maandamano ya mala ya pile lakini term hii tukiwa na mabomu ya petrol pinde mishale ikiwezekana na bunduki,ujumbe utakuwa hakuna mtu kuludi mzima mpaka ushindi upatikane
 
Miaka ya 2000 wakati nakua walikua wanasema "msiwachague CUF waislamu vita itatokea hao wadini na magaidi,watavuruga amani, Tanzania kisiwa Cha amani"

Miaka ya 2010 ikaibuka chadema wakawa wanasema" hao wanataka muharibu amani ya nchi wao na familia zao wapo ulaya wanakula bata Tanzania kisiwa Cha amani"

Now kama Binti bikra Tanzania ishaingiliwa,now the fvvck the gon tell us??.

Now Tanzania is island of cold massacre na vigilante justice...
 
Kabisa
 
We subiri watajuta mbwa hawa
 
Na kama nchi nzima itaandamana maana yake tutawazidi parefu sana tena sana
 
Hata nawe nakupongeza bro. Naomba nimuone Lamomy kama yupo hai ajitokeze nimuombe msamaha kwani nilikiwa namchukulia vibaya.

Hongereni mmetuwakilisha sisi wa Lindi.
Hivi Lamony hajaingia kabisa huku tangu mtandao uzimwe?
 
Ni huzuni kubwa mno sisi kama taifa na kibaya zaidi wana jalibu ku ignore nguvu na damu ya watanganyika hili halitapita hivi hivi, hakuna nafsi ambayo itaishi milele hapa duniani, watanganyika tunahitaji kizazi chenye mwanga zaidi hicho kinachokuja
 
This time tutaboresha mbinu ya kuwashughulikia.
 
Pole sana. Inauma sana tena sana
 
Duuh nahisi hivyo pia.
Kuna dalili watu kuandamana wakiwa na bunduki.

TANZANIA YANGU DUH.Tusifike huko pls
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…