Niliandamana Tarehe 29 na nitaandamana tena ikibidi

HATUWEZI KUPATA TAREHE NYINGINE YA MAANDAMANO MAANA BJECTIVE ZANGU BADO ZIKO ASILIMIA 40%.
 
Kongole sana mwanamapinduzi
Next season ntakuwa na AK 47
 
Nilitoka nyumbani na kuingia main road kama X 3, kuona kama Kuna watu washalianzisha niungane nao

Nilipopata tu taarifa Ubungo kimewaka, nikawahi kuliunga chap.

Nina majonzi Kwa sababu ya mauaji yalitokea, lakini ningekuwa na majonzi X 3 zaidi kama Watanzania wasingetoka kuandamana.

Walionipinga wote kuhusu maandamano, wanaona haya na wengine wamenyoosha mikono.

Watanzania siyo waoga, hawakuwa tu na sababu za kuwatia hasira waandamane Kwa wingi
 
Kamanda tuko pamoja✊️✊️✊️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…