Niliandika hapa na ninaandika tena hakuna kisokolokwinyo chochote kinachoweza kuchukua kombe kwenye ardhi ya mwarabu.

Niliandika hapa na ninaandika tena hakuna kisokolokwinyo chochote kinachoweza kuchukua kombe kwenye ardhi ya mwarabu.

Expensive life

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2020
Posts
2,971
Reaction score
9,437
Mwarabu hajawahi kuwa ndezi kwenye vitu serious, eti tunaenda kumfunga kwake 🤣🤣🤣


 
Wanahamisha magoli tu. Hapa kwa Mkapa anakufa 3-0 au 3-1, baada ya mwisho kusokomezwa zaidi ndani wameibuka tena na kauli "tunaenda kumpiga kwake na kubeba kombe". Wanafikiri lile ni TULIA ACKSON CUP.
 
YANGA Angalau Leo WAMECHEZA na wanaume.

Walizoea kucheza na timu zinazoshuka Daraja.

Leo NIMEAMINI pamoja na changamoto za Simba.
Lakini Simba ni timu kubwa.
 
Back
Top Bottom