Expensive life JF-Expert Member Joined May 2, 2020 Posts 2,971 Reaction score 9,437 May 28, 2023 #1 Mwarabu hajawahi kuwa ndezi kwenye vitu serious, eti tunaenda kumfunga kwake 🤣🤣🤣 Your browser is not able to display this video.
Mwarabu hajawahi kuwa ndezi kwenye vitu serious, eti tunaenda kumfunga kwake 🤣🤣🤣 Your browser is not able to display this video.
Lord Delamere in Kenya JF-Expert Member Joined Nov 26, 2018 Posts 3,988 Reaction score 8,021 May 28, 2023 #2 Wanahamisha magoli tu. Hapa kwa Mkapa anakufa 3-0 au 3-1, baada ya mwisho kusokomezwa zaidi ndani wameibuka tena na kauli "tunaenda kumpiga kwake na kubeba kombe". Wanafikiri lile ni TULIA ACKSON CUP.
Wanahamisha magoli tu. Hapa kwa Mkapa anakufa 3-0 au 3-1, baada ya mwisho kusokomezwa zaidi ndani wameibuka tena na kauli "tunaenda kumpiga kwake na kubeba kombe". Wanafikiri lile ni TULIA ACKSON CUP.
CAPO DELGADO JF-Expert Member Joined Aug 31, 2020 Posts 8,542 Reaction score 18,340 May 28, 2023 #3 YANGA Angalau Leo WAMECHEZA na wanaume. Walizoea kucheza na timu zinazoshuka Daraja. Leo NIMEAMINI pamoja na changamoto za Simba. Lakini Simba ni timu kubwa.
YANGA Angalau Leo WAMECHEZA na wanaume. Walizoea kucheza na timu zinazoshuka Daraja. Leo NIMEAMINI pamoja na changamoto za Simba. Lakini Simba ni timu kubwa.