Mzee wa Twitter
JF-Expert Member
- Nov 5, 2023
- 1,483
- 2,392
Najaribu kuunganisha DOT juu ya KUKAMATWA Wahamiaji Haramu 20 wakiwa kwenye Gari linalomilikiwa na Kiongozi na Kada wa CCM huku likipeperusha BENDERA ya CCM.
Tusihangaike kupiga Ramli juu ya Bendera ya CCM kwani Mwenye gari ni Kiongozi wa CCM Ana haki ya kuwa na Bendera ya CCM.
Hivyo Gari Lake kupeperusha Bendera ya CCM ni sahihi kwani ni gari ya KADA wa CCM. Swali liwe Mwenye Gari Ana husika na huo Usafirishaji wa Wahamiaji haramu au hahusiki? Kama Ana husika Kweli CCM inaweza kumwajibisha KIONGOZI na KADA wake? Ngoja tusubiri SUPU inachemka.