Mzee wa Twitter
JF-Expert Member
- Nov 5, 2023
- 1,483
- 2,392
Najaribu kuunganisha DOT juu ya KUKAMATWA Wahamiaji Haramu 20 wakiwa kwenye Gari linalomilikiwa na Kiongozi na Kada wa CCM huku likipeperusha BENDERA ya CCM
Tusihangaike kupiga Ramli juu ya Bendera ya CCM kwani Mwenye gari ni Kiongozi wa CCM Ana haki ya kuwa na Bendera ya CCM
Hivyo Gari Lake kupeperusha Bendera ya CCM ni sahihi kwani ni gari ya KADA wa CCM. Swali liwe Mwenye Gari Ana husika na huo Usafirishaji wa Wahamiaji haramu au hahusiki? Kama Ana husika Kweli CCM inaweza kumwajibisha KIONGOZI na KADA wake? Ngoja tusubiri SUPU inachemka.
Mmiliki wa hilo gari tungependa kumjuwa?Najaribu kuunganisha DOT juu ya KUKAMATWA Wahamiaji Haramu 20 wakiwa kwenye Gari linalomilikiwa na Kiongozi na Kada wa CCM huku likipeperusha BENDERA ya CCM
Tusihangaike kupiga Ramli juu ya Bendera ya CCM kwani Mwenye gari ni Kiongozi wa CCM Ana haki ya kuwa na Bendera ya CCM
Hivyo Gari Lake kupeperusha Bendera ya CCM ni sahihi kwani ni gari ya KADA wa CCM. Swali liwe Mwenye Gari Ana husika na huo Usafirishaji wa Wahamiaji haramu au hahusiki? Kama Ana husika Kweli CCM inaweza kumwajibisha KIONGOZI na KADA wake? Ngoja tusubiri SUPU inachemka.
Uko sahihi kabisa!Najaribu kuunganisha DOT juu ya KUKAMATWA Wahamiaji Haramu 20 wakiwa kwenye Gari linalomilikiwa na Kiongozi na Kada wa CCM huku likipeperusha BENDERA ya CCM
Tusihangaike kupiga Ramli juu ya Bendera ya CCM kwani Mwenye gari ni Kiongozi wa CCM Ana haki ya kuwa na Bendera ya CCM
Hivyo Gari Lake kupeperusha Bendera ya CCM ni sahihi kwani ni gari ya KADA wa CCM. Swali liwe Mwenye Gari Ana husika na huo Usafirishaji wa Wahamiaji haramu au hahusiki? Kama Ana husika Kweli CCM inaweza kumwajibisha KIONGOZI na KADA wake? Ngoja tusubiri SUPU inachemka.
Ni kada yupi?Najaribu kuunganisha DOT juu ya KUKAMATWA Wahamiaji Haramu 20 wakiwa kwenye Gari linalomilikiwa na Kiongozi na Kada wa CCM huku likipeperusha BENDERA ya CCM
Tusihangaike kupiga Ramli juu ya Bendera ya CCM kwani Mwenye gari ni Kiongozi wa CCM Ana haki ya kuwa na Bendera ya CCM
Hivyo Gari Lake kupeperusha Bendera ya CCM ni sahihi kwani ni gari ya KADA wa CCM. Swali liwe Mwenye Gari Ana husika na huo Usafirishaji wa Wahamiaji haramu au hahusiki? Kama Ana husika Kweli CCM inaweza kumwajibisha KIONGOZI na KADA wake? Ngoja tusubiri SUPU inachemka.
Mimi ninakubaliana nawe vizuri kabisa.Thubutu yao! Unataka waanza kuchomeana utambi, patakalika!
Viongozi wengi wa CCM wanaendesha biashara haramu!
Majibu yale yalikuwa ya kipuuzi kuwahi kutokea!Kinana: Meli ni yangu, ila shehena ya meno ya tembo iliyo ndani ya meli yangu, Si yangu.
Na yeye umesahau alipata kashfa ile ya kuiba gari double cabin Toyota na ndio ikawa mwisho wake na siasa ndani ya CCM!Manara alikuwaga Muenezi wa CCM kabla ya kuajiriwa Makolo FC [emoji23][emoji23]
Na huko CCM ndiko alikojifunzia wizi na utapeliManara alikuwaga Muenezi wa CCM kabla ya kuajiriwa Makolo FC [emoji23][emoji23]
Wanabebana,Majibu yale yalikuwa ya kipuuzi kuwahi kutokea!
Ashukuru kuwepo kwa Kapteni mwenzake tangu enzi hizo mpaka sasa amekuwa Kapteni wa "Remote" na bado Kinana anapeta!
Kukaa kimya nalo ni jibuKwa hali ya kawaida,. uongozi makini.Na uongozi unaoheshimu katiba na kutii sheria za nchi.
CCM mlipaswa kuwa mmejitokeza kupitia msemaji wa chama.Ili kuuelezea umma wa Watanzania kuhusiana na kilochotokea kwenye kashfa hii ya gari lenye kuwa na bendera ya CCM,na ambalo imeelezwa kuwa linamilikiwa na kada wa CCM na ni kiongozi wa moja ya taasisi za CCM mkoa wa Dar-es- salaam.
Na limekamatwa minjingu kibaoni kwenye kizuizi cha Polisi likiwa na watu wanaosadikika kuwa wahamiaji haramu kutoka nchini Ethiopia.
Mpaka sasa hakuna kiongozi yeyote wa CCM ambae amejitokeza ama kufafanua na kuufahamisha umma juu ya uhusika au kutohusika kwa CCM na tukio husika?
Kuendelea kukaa kimya kwa CCM,kunaweza kuirasmisha tuhuma hii kuwahusu moja kwa moja.
Kumbukeni ile issue ya meli ya kinana na zile nyara miaka ileee!
Na point yangu inakuja kwamba.Tulitakiwa kuisikia CCM ikijitokeza na kutuelezea kuhudika moja kwa moja mhusika na mmiliki wa gari hilo.
Wadhifa wake ndani ya CCM lakini pia kimekuwaje gari lake liondoke Dar es Salaam hadi kufika Minjingu Arusha.
Bila yeye kama mmiliki kutotambua na kutoa taarifa ya kutoweka kwa gari lake?
CCM nao kuzidi kukaa kimya bila kutuambia ni hatua Gani stahiki wamekwisha mchukulia mwanachama wao mpaka sasa!
Au hilo gari ni mali ya CCM kiuhaslisia
Ngoja nisi comment kituKwa hali ya kawaida,. uongozi makini.Na uongozi unaoheshimu katiba na kutii sheria za nchi.

Hii ya lini?Na huko CCM ndiko alikojifunzia wizi na utapeli View attachment 2944950
Na amerudi kuonyesha kipaji chake kupitia GSM!Na huko CCM ndiko alikojifunzia wizi na utapeli View attachment 2944950
Yule mzee yuko hai kweli?Wanabebana,
Hata yule balozi Shimbo, aliwahi kukiri kuwa account ya uswisi yenye trillion 3 ni yake, ila pesa zilizomo Si zake.
Ikaishia hapo.