Now and then
JF-Expert Member
- Dec 19, 2024
- 613
- 1,729
Mimi sitokufa nitaishi kuyasimulia matendo ya bwanaBabu na babu na babu na baba yako pia walikufa au watakufa je pia hapo mungu atakuwa kaamua ugomvi wako wewe na wale watoto wakike unaowachezea bila ndoa ........?? Maneno yako hayakamamilishi sentence kamili ......bado wewe kufa sasa sijui pia atakuwa kaamua ugomvi na hao uliowachezea.....
Wakati huo ulikuwa na umri gani jamaa?Nilianza kuamini uwepo wa Mungu baada ya kifo cha Magufuli.
Maana watu walilalamika juu ya utawala mbovu Ila baadae Mungu aliamua kujibu
Ahsante Mungu
N mungu huyo anapatikan dunia nzima lkin sana sana MsataNilianza kuamini uwepo wa Mungu baada ya kifo cha Magufuli.
Maana watu walilalamika juu ya utawala mbovu Ila baadae Mungu aliamua kujibu
Ahsante Mungu
Naunga mkono hojaWewe ni mpumbavu
Mimi kwa sasa nakaribia nusu karneWakati huo ulikuwa na umri gani jamaa?
Yule wa msata na wa ikungwi singidaN mungu huyo anapatikan dunia nzima lkin sana sana Msata
Aisee Safi sanaMimi kwa sasa nakaribia nusu karne
Kuna watu wanaabudu mzimu mzee Magu.Wanaona alikuwa Mungu japo sikatai kwao anaweza akawa mungu.Ila hili la kumtetea bila kujua udhaifu wake linatia shaka sana juu ya huko tuendako.Hivi mliwahi kujiuliza kwa nini familia haiongeaji!!.Pia hii ni kufuru kwamba Mungu hana watu wengine zaidi yake.Kama ingekuwa hivyo Mungu angemwacha,na ni vyema kujua akili za Mungu hazichunguziki,yeye ni zaidi ya viumbe vyoteNilianza kuamini uwepo wa Mungu baada ya kifo cha Magufuli.
Maana watu walilalamika juu ya utawala mbovu Ila baadae Mungu aliamua kujibu
Ahsante Mungu
Ni muhimu sana kumshukuru Mungu kwa kila jambo. Ukipata shukuru, ukikosa pia shukuru Mungu ipo siku atakujaalia utapata 🐒Nilianza kuamini uwepo wa Mungu baada ya kifo cha Magufuli.
Maana watu walilalamika juu ya utawala mbovu Ila baadae Mungu aliamua kujibu
Ahsante Mungu
Mnamlalamikia aliyepo mukiwa na nani? Kwani huyu ana uovu gani? Acheni kulazimisha kumfanaisha Samia na shetani MagufuliSiku zake zilishafika tu, ingekuwa kila utawala unaolalamikiwa basi Mungu anamchukua muhisika dakika hii tusingekuwa na raisi tulienae.
hakuna nguvu bila kuwepo udhaifuKuna watu wanaabudu mzimu mzee Magu.Wanaona alikuwa Mungu japo sikatai kwao anaweza akawa mungu.Ila hili la kumtetea bila kujua udhaifu wake linatia shaka sana juu ya huko tuendako.Hivi mliwahi kujiuliza kwa nini familia haiongeaji!!.Pia hii ni kufuru kwamba Mungu hana watu wengine zaidi yake.Kama ingekuwa hivyo Mungu angemwacha,na ni vyema kujua akili za Mungu hazichunguziki,yeye ni zaidi ya viumbe vyote
Kama unamfagilia Magufuli kwa ukatili ule aliouonyesha kwenye uongozi wake basi wewe ulikuwa highly BRAINWASHED. Uko mateka wa mwendazake, there is no way tunaweza kukusaidia. Yaani kwa upumbavu ulionao, hata hata ukisagwa kama mchanga na ukatengenezwa upya utaendelea kuwa MPUMBAVU tuWewe ni mpumbavu